Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo dhamira uisemayo unao ushahidi?Eti "tunaingia kwenye vifungu vya sheria". Wewe usianze kunibabaisha aisee. Sheria sikuanza kuisikia leo. Sheria nimeisoma UDSM na kuhitimu mwaka 1983, na baadhi ya walimu wangu niwakumbukao walikuwa maProf. Issa Shivji, Mugongo Fimbo, Masumbuko Lamwai na Josaphat Kanywanyi. Je ulikuwa wapi miaka hio? Labda tukumbushane!
Wacha kujifanya unajua. Sote ni wajuaji.
Sina tabia ya kuangalia tiivii.
Na kama hukusoma sheria vipi unataka kuwatishia watu na vifungu vya sheria. Usidandie treni kwa mbele!Please askari kanzu, nashukuru kwa kuwa umesoma sheria. Mie sikusoma sheria. Nimekuonyesha UN charter, basi naomba unisaidie sheria inayoruhusu uvamizi wa mwaka 2011 nchini Libya. Mwanasheria gani hutaki kuonyesha vifungu vya sheria???
Na kama hukusoma sheria vipi unataka kuwatishia watu na vifungu vya sheria. Usidandie treni kwa mbele!
Unaponilazimisha kuchambua vifungu vya sheria kwani tupo mahakamani, au? Nimeshakushauri umtafute Mheshimiwa Ban Ki Moon kwa hili, au bado hujanielewa?
Nani amekuambia anaunga mkono hivyo vyombo. Yaani wewe unamatatizo gani?
Kutokusoma sheria chuoni sio kutokuifahamu sheria.. Mie nimesoma Computer science, lakini hii haimaanishi kwamba siifahamu sheria.. Ili kuondoa malumbano ya uhalali wa NATO kuivamia Libya, mie nimekutolea vifungu vinavyoonesha kuwa uvamizi huo haukuwa halali.. Wewe kama mwanasheria, weka vifungu hapa vinavyoruhusu NATO kuivamia Libya.. Sheria si lazima uende mahakamani, Sheria iko popote pale, muda wowote na zinafahamika wazi. Sasa hatuwezi kusubiri twende mahakamani ndo tuijue sheria..
Ndugu Askari Kanzu, weka sheria hapa inayoruhusu NATO kuivamia Libya.. Full stop!!!!!
Tuachane na mambo ya kuunga mkono vyombo vya habari ambazo ni Mouth-Piece of Washington-DC.. Weka sheria hapa.. Sheria inasemaje???? Mie nimekuonesha hapo juu UN charter chapter ya saba, na wewe leta sheria inayoruhusu uvamizi..
Nani amekuambia anaunga mkono hivyo vyombo. Yaani wewe unamatatizo gani?
Swali nimekuuliza tangu lini NATO wamefuata UN Charter?
Aisee wewe na hivyo vijisheria vyako nishakuchoka. Mtafute Ban Ki Moon. Nadhani huyo ndio haswa anayefaa kukuelezea/kukufafanulia vipi imekuwa vipi!So walitumia sheria ipi kuivamia Libya?? Unataka kumaanisha wamevamia bila kutumia sheria yoyote???
Hawa kwenye hii video wanaonekana wamekufa kweli...na daktari anasema ni matokeo ya kazi ya" kulinda raia" iliyofanywa na US-NATOBritish Government knew Hana Gaddafi was still alive
- a photograph of Hana, covered in blood and on the verge of death, lying on a hospital trolley.
Gadafi must go
Gadafi has but one choice, left; tocede power and allow a peaceful transition. The pointhere is it all started with civilian demonstrations challengingGadafi´s iron hand rule, and at som point the ``UN `` tookadvantage of the situation authorizing the use of force by NATO toallegedly protect civilians. The rebels have taken control of the bigpart of the country, at least according to the media. It does notseem practical for Gadafi to wage war as guerrilla against the NTCgovernment or whatever government there will be after the war. Itwont help fussing that the invasion was unlawful as long as he haslost control. Over 40 years of power as a leader of a country....seems just like a monarchy. More than enough.
Na kama hukusoma sheria vipi unataka kuwatishia watu na vifungu vya sheria. Usidandie treni kwa mbele!
Unaponilazimisha kuchambua vifungu vya sheria kwani tupo mahakamani, au? Nimeshakushauri umtafute Mheshimiwa Ban Ki Moon kwa hili, au bado hujanielewa?
Tangu lini umesikia NATO wanafuata UN Charter?