The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Gaddafi regime spokesman captured? Friday, 30 September 2011
Moussa Ibrahim, mouthpiece for Muammar Gaddafi, has been captured by rebel forces while driving close to the city of Sirte, according to military commanders.
NB: Hii habari bado ina utata ingawa magazeti kama The Independent yameshaanza kuichapisha!
doudee_normal.jpg

Douuu Fadwa El-Gallal by alaref
I wont believe that Moussa Ibrahim was captured until I see the pix confirming that! I wont fall again to lies of capture/fleeing .. #Libya

Walimkamata Saif al islam ...kwa kutangaza hili walipata recognition kutoka nchi kama 15-30..so it pays for NTC for using this tactic.
Lakini bado kama unavyosema bado hawajalithibitisha hili..camera za CNN, BBC, Reuters, Al jazeerah, AP ziko wapi? Basi hata fake one wameshindwa kutuonesha kama kawaida yao? Vita ya Libya imekuwa ni sinema ya Holywood.
 
NATO protection of civilians in action.

 
Last edited by a moderator:
[h=1]Jeshi latwaa uwanja wa ndege, Sirte[/h]
110929162727_aeroporto_sirte_reuters_304x171_reuters_nocredit.jpg
Picha za Gaddafi za ng'olewa uwanjani


Wanajeshi wanaoitii serikali ya mpito ya Libya wametwaa uwanja wa ndege katika mji wa Sirte, mahali alikozaliwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi.
Wapiganaji walisonga mbele kupitia majengo ya uwanja wa ndege yaliyoharibiwa, wakiharibu miundombinu ambayo ilikuwa alama ya utawala wa Gaddafi.
Taarifa kuhusu alipo kiongozi huyo wa Libya, aliyeng'olewa madarakani, bado haijulikani lakini wengi wa wanafamilia wake wamekwisha kimbia kutoka Libya.
Mtoto wake wa kiume Saadi yuko nchini Niger. Saa kadha baada ya hati ya kumkamata kutolewa, waziri mkuu wa Niger amesema Saadi hatarejeshwa nchini Libya.
Taarifa ya Shirika la Polisi la Kimataifa, Interpol, ya kukamatwa kwa Saadi Gaddafi, inasema anatakiwa nchini Libya ambako anatuhumiwa kujipatia mali kimabavu na kutumia vitisho vya kijeshi wakati alipokuwa kiongozi wa Shirikisho la Kandanda la Libya.
Interpol imesema akiwa kamanda wa vikosi vya kijeshi, anatuhumiwa kuhusika katika ghasia dhidi ya raia wakati wa maasi, pia anakabiliwa na vikwazo vya Umoja wa Mataifa, vikiwezo vya usafiri na kukamatwa mali zake.
Interpol imesema Saadi kwa mara ya mwisho alionekana nchini Niger na kuziomba nchi wanachama kusaidia kubaini alipo na kumrejesha Libya.
Lakini akizungumza nchini Ufaransa, Waziri Mkuu wa Niger Brigi Rafini amesema Saadi Gaddafi uko salama na "yuko katika mikono ya serikali ya Niger" katika mji mkuu Niamey.
"Kwa sasa, hakuna suala la yeye kupelekwa Libya" Bwana Rafini ameliambia shirika la habari la Ufaransa AFP, akisema hatatendewa haki ya kimahakama akipelekwa huko.
Interpol tayari imetoa hati ya kukamatwa kwa Kanali Gaddafi na mtoto wake mwingine wa kiume, Saif al-Islam.
Wapiganaji watiifu kwa Gaddafi wamekuwa wakiweka upinzani mkali katika mji wa Sirte tangu askari wanaowaunga mkono wapiganaji wa Baraza la Taifa la Mpito la Libya (NTC) waanze mashambulio yao katika mji huo.
Majengo mawili ya viongozi Mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Sirte ni ya kifahari, yakidhihirisha mji wa nyumbani kwa Muammar Gaddafi - yakiwa yamewekewa skrini kubwa za Televisheni, bafu ya mvuke au Sauna na kitanda kikubwa.
Wapiganaji vijana waliegesha bunduki zao katika viti vilivyonakishiwa kwa dhahabu, wakitaniana na kufurahia madaraka ya ghafla waliyoyapata - wachache kati yao wamewahi kuuona mji wa Sirte hapo kabla, achilia mbali mazingira ya kifahari aliyoishi kiongozi wao.
[h=2]uharibifu[/h]Malori yaliyochorwa chorwa rangi yaliharibiwa katika barabara ya lami, wakilenga ngome ya majeshi ya Gaddafi katika upande wa pili wa barabara ya kurukia na kutua ndege.
Wiki mbili zilizopita, majeshi ya NTC yaliutwaa uwanja wa ndege, umbali mfupi kutoka katikati ya mji, lakini wakarudishwa nyuma na wanajeshi wanaomtii Gaddafi.
Mwandishi wa BBC, Jonathan Head anasema wakati huu majeshi ya NTC yana matumaini ya kuutwaa kabisa uwanja huo wa ndege, mbali na kukabiliwa na mashambulio ya maroketi na bunduki kutoka upande wa pili wa njia ya kurukia na kutua ndege.
Uwanja wa ndege upo umbali wa kilomita 5 (maili 3) kutoka mjini Sirte.
Majeshi ya Baraza la Mpito la Taifa la Libya (NTC) hivi karibuni pia yalitwaa bandari ya Sirte.
[h=2]Makabiliano makali[/h]Mapigano makali yameripotiwa kuendelea Alhamisi, kwa pande zote mbili wakishambuliana kwa silaha nzito za kivita.
Ndege za Nato zimekuwa zikiendesha mashambulio ya anga dhidi ya vituo vya kijeshi yakiwemo maghala ya kuhifadhi silaha na risasi.
Miji ya Sirte na Bani Walid ni maeneo makubwa ya mwisho ambayo yako chini ya udhibiti wa wafuasi wa Gaddafi, na miji yote miwili imeshuhudia mapigano makali katika siku za karibuni.
[h=2]Gaddafi na familia[/h]Maafisa wa NTC wanasema wanaamini kuwa Kanali Gaddafi huenda anajificha katika jangwa kusini mwa Libya.
Wanasema mmoja wa watoto wake wa kiume, Mutassim, huenda yuko Sirte, na mwingine, Saif al-Islam, yuko Bani Walid.
Mke wa Kanali Gaddafi na watoto wake watatu walikimbilia Algeria mwezi uliopita. Na watu wengine wa familia ya Gaddafi walikwenda Niger.
 
[h=2]Friday, September 30, 2011[/h][h=3]Libyan Rebel Commander Killed by Bani Walid Defenders[/h]
[h=3]NATO-backed rebels suffer further losses in Bani Walid as field commander Daw Saleheen is killed by Libyan forces.
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 1"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]credit: Madison Ruppert, End the Lie[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tony Cartalucci, Contributing Writer
Activist Post

As reported earlier, rebel fighters tasked by NATO to take Bani Walid have begun filtering back home after frustrating and continuous defeat by the city's defenders. A recent rocket barrage managed to kill rebel commander Daw Saleheen, who was leading operations against Bani Walid, Associated Press reported. Saleheen had taken part in a previous, CIA-MI6 1993 attempt to overthrow Qaddafi and the Libyan government, and was subsequently imprisoned for 18 years. Tempting fate twice, Saleheen became a field commander for this most recent Western-backed attempt to seize Libya, featuring brutal air bombardments by NATO aircraft and foreign arms and training being freely shipped into the country. Despite these increased odds, for Daw Saleheen, his ignoble battle has ended in defeat.

Meanwhile, the coastal city of Sirte is still holding out against NATO attacks
civilians are describing as "genocidal," while rebel forces concede their "final assault" has failed, and are regrouping for yet another "final assault." The rebels, with NATO assistance, are still cutting off Sirte from essential supplies, including food, water, and electricity, intentionally creating a humanitarian disaster to, as the rebels say, "starve the city into submission."

CHANZO:
Uprooted Palestinians: Libyan Rebel Commander Killed by Bani Walid Defenders[/h]
 
Friday, September 30, 2011

Libyan Rebel Commander Killed by Bani Walid Defenders


NATO-backed rebels suffer further losses in Bani Walid as field commander Daw Saleheen is killed by Libyan forces.
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 1"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]credit: Madison Ruppert, End the Lie[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Tony Cartalucci, Contributing Writer
Activist Post

As reported earlier, rebel fighters tasked by NATO to take Bani Walid have begun filtering back home after frustrating and continuous defeat by the city's defenders. A recent rocket barrage managed to kill rebel commander Daw Saleheen, who was leading operations against Bani Walid, Associated Press reported. Saleheen had taken part in a previous, CIA-MI6 1993 attempt to overthrow Qaddafi and the Libyan government, and was subsequently imprisoned for 18 years. Tempting fate twice, Saleheen became a field commander for this most recent Western-backed attempt to seize Libya, featuring brutal air bombardments by NATO aircraft and foreign arms and training being freely shipped into the country. Despite these increased odds, for Daw Saleheen, his ignoble battle has ended in defeat.

Meanwhile, the coastal city of Sirte is still holding out against NATO attacks
civilians are describing as "genocidal," while rebel forces concede their "final assault" has failed, and are regrouping for yet another "final assault." The rebels, with NATO assistance, are still cutting off Sirte from essential supplies, including food, water, and electricity, intentionally creating a humanitarian disaster to, as the rebels say, "starve the city into submission."

CHANZO:
Uprooted Palestinians: Libyan Rebel Commander Killed by Bani Walid Defenders

Mr. Toyo kazi yako kula tu kila wakati sasa hebu tueleze unapata wapi muda wa kutuletea habari mfululizo?
 
Sinema/habari za kipropaganda zinavyotengenezwa na Western media. Lengo demonisation.

 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD][TABLE="class: artinfo_block, width: 100%"]
[TR]
[TD]IJUMAA, 30 SEPTEMBA 2011 20:25 [/TD]
[TD="class: buttonheading"][/TD]
[TD="class: buttonheading"][/TD]
[TD="class: buttonheading"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Niger: Hatutamkabidhi Saadi Gaddafi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
brigi.jpg
Waziri Mkuu wa Niger amesema kuwa nchi yake haitamkabidhi Saadi Gaddafi, mwana wa dikteta mtoro wa Libya Muammar Gaddafi kwa Baraza la Mpito la nchi hiyo.
Akijibu hukumu iliyotolewa na Polisi ya Kimataifa (Interpol) ya kutaka kutiwa nguvuni Saadi Gaddafi, Waziri Mkuu wa Niger Brigi Rafini amesema kuwa kwa kutilia maanani suala la kutokuwepo dhamani ya kuhukumiwa Saadi kwa uadilifu nchini Libya, Niamey haiwezi kumkabidhi kwa viongozi wa sasa wa nchi hiyo.
Jana Interpol ilizitaka nchi 188 wanachama wake kumtia nguvuni Saadi Gaddafi kutokana na ombi la Baraza la Mpito la Libya.
Kibali hicho cha Interpol ni cha kwanza kutolewa na Polisi ya Kimataifa kwa ombi la Baraza la Mpito la Libya.
Saadi anatuhumiwa kwamba alikuwa akiongoza kikosi cha jeshi kilichohusika na mauaji ya raia mapema mwaka huu.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
SOURCE: Niger: Hatutamkabidhi Saadi Gaddafi
 
Shirika la kutetea haki za kibinadam la Human Rights Watch, limetoa wito kwa Baraza la Mpito nchini Libya, NTC kuagiza makundi yaliyojihami kukoma kuwakamata watu kiholela na kuwahujumu wafungwa nchini humo.
110822120113_libya-jali-xl.jpg
Kiongozi wa Baraza la Mpito nchini Libya


Shirika hilo lilizuru magereza 20 na kusema kuwa limepokea ripoti kuwa wafungwa sita waliteswa katika vituo vinavyosimamia na wanajeshi watiifu kwa Baraza la Mpito NTC.
Walinzi katika vituo hivyo wanatuhumiwa kuwadhulumu wafungwa katika magereza hayo ya muda kwa kuwapiga viboko na hata kutumia umeme.
Shirika hilo linasema wafungwa wanaotuhumiwa kuhusika na visa vya ubakaji na mauaji walionekana kudhulumiwa zaidi na kushurutishwa kukiri mashtaka dhidi yao na walizi katika magereza hayo.

Shirika hilo la Human rights watch, limetoa wito kwa Baraza hilo la Mpito, kubuni mfumo wa haki ambao utahakikisha kuwa wafungwa wote wanapewa haki.
chanzo: BBC Swahili - Habari - NTC yaombwa kuzuia mateso ya wafungwa
 
Kutokana na ripoti za kupikwa na propaganda ya hali ya juu iliyofanywa na inayofanywa na vyombo vya habari vya nchi za NATO na US, kama CNN; BBC, Reuters, AP juu ya matukio ya Libya na hali ya vita(uvamizi) ya Libya, maneno anayosema huyu muzee katika video yanahitaji tafakuri.

Tahadhari..Lugha anayotumia kufikisha ujumbe ni balaa.

 
Last edited by a moderator:
SABABU Vyombo vya Magharibi 'kusita' kutoa Taarifa za mapigano huko kwa waafrika wa Libya.....

The Sieges on Sirte and Bani Walid are breaking up, so does the the Transitional National Counsel. Jalil is calling for establishing a new government while the majority of TNC members desert it. Abdelhakim Belhadj describes the situation as chaotic. Is he making a move for power.
Dr. Christof Lehmann. NSNBC NEWS
In spite of it´s absolute air superiority, NATO is loosing the battle on the ground. Today the citizens of Bani Walid woke up to a surprise. Instead of the usual bombs, NATO planes dropped thousands of fliers telling the people to leave the city or to be considered military targets. Is NATO preparing for an onslaught with bombs in a desperate attempt to turn around the lost battle on the ground.
Tonight nsnbc received confirmed reports that the siege on Bani Walid and Sirte is broken. Though there are heavy clashes around both cities, the resistance inside the cities has now established contact with the military, Tribal and Volunteer Forces that came to their relief.
Tonight heavy fighting erupted in and around the Green Square in Tripoli. A NATO ammunition depot in Tripoli harbor was seized by Libyan Forces. There was heavy fighting at both Tripoli´s military airport as well as Mitiga Airport. Tribal militia from Zintan secured several banks in Tripoli and began refunding money that had been seized by the TNC. The Zintan militia also stormed several prison facilities and liberated numerous PoW´s that had been captured during the last months of fighting. The result of tonights fighting; The Green Flag is flying over 80% of Tripoli.
The proverb of "the rats abandoning the sinking vessel", the majority of TNC members have quit their membership and positions. Abdelhakim Belhadj
 
SABABU Vyombo vya Magharibi 'kusita' kutoa Taarifa za mapigano huko kwa waafrika wa Libya.....

m
2011TVarrai | Oct 1, 2011
FROM ELAC-RESISTANCE [EDITED FOR CLARITY AS TRANSLATION WAS OBSCURE - NOT INTENDED TO BE VERBATIM]
Peace be upon you.
I was near the Sirte front with 23 fighters. We were under attack by well-armed rebels for more than a day and a half, and we suffered fatalities."
He went on to announce the launch of the strategy NOONA MIME [N - NATO - M - MAJLIS INTIKALI (NTC)]. This strategy involves creating multiple flash points of instability to continually disrupt every NATO plan, rendering the ongoing presence of NATO in Libya untenable. Thus the NTC will be abandoned and the Resistance can demolish it within a month.
Recent events have shown that the NTC is very weak with their rebels failing to take over Bani Walid and Sirte in the last few days.
The strategy began with spectacular operations in Tripoli, exploding NTC and NATO infrastructure.
Further, Ibrahim confirms, "The news of Bani Walid is excellent. Bani Walid has been "cleansed of rebels". Hospitals are full of anti-Gaddafi fighters and the dead lie near the city and in the mountains.
Regarding Sirte, Ibrahim reported, "violent bombardments with tanks and Grad rockets (..) had destroyed entire neighborhoods and houses (&#8230😉 forcing hundreds of residents to leave the city."
He stated he,"personally contacted the media and international organizations urging them to enter Sirte to see for themselves what has happened in the past month, but so far no one has come, why ? This is clearly a conspiracy. "
As for the situation Saturday in Sirte, he said that "according to the latest information (&#8230😉 combatants (pro-Gaddafi) conducted a qualitative attack east of the city, repelling (pro-CNT) forces several kilometers from the town."
"The south and north fronts are going well. We expect an intensification of fighting (&#8230😉 beginning tomorrow on the western and southern fronts, but we are prepared. We have a numerous combatants on the western front. We are fighting the CNT on five fronts in Sirte. These assault teams are supported by NATO aircraft and modern weapons."
Finally, Moussa Ibrahim indicated that there are strong pro-Gaddafi led attacks taking place in several parts of western Libya, including Zliten, Tripoli, as well as Aziziyah Tarhouna.
He called upon the tribes to send more volunteers to the fronts of Bani Walid and Sirte.
Please see: LIBYAN RESISTANCE UPDATES, SEPTEMBER 29-30 , 2011 &
 
Hawa NTC ni wahuni flani wamewekwa na wakoloni na hakika nawambia watashindwa kabisa
 
SABABU Vyombo vya Magharibi 'kusita' kutoa Taarifa za mapigano huko kwa waafrika wa Libya.....


We received the following communiqué from the Libyan Resistance via La Haine and Leonoren Libia this morning stating that 10,000 Tuaregs have joined the forces of the valiant Libyan Resistance from the Sahara. The BBC confirms that the Tuaregs have joined the Libyan Resistance but quotes an unnamed source to perpetuate the lie that the Col. Qaddafi is using mercenaries from Africa and that the Tauregs are among them, being paid by the Libyan Embassy in Mali. This has been denied by a spokesperson at Mali's Foreign Ministry, "The government of Mali is strongly opposed to the use mercenaries in any armed conflict and is not in any way facilitating the movement of these people. We're thinking at the moment about how we can stop this." If you think these nomadic tribes of the Sahara are doing this for money the movie, The Lion of the Desertmight cause you to adjust your views.......

The September 19 Tuareg tribes had a general conference composed of the heads of the tribes in Libya, Mali and Niger. Tuareg stated that all will fight against the renegades because they started a war against the Libyan Tuareg and killed a large number of them. Tuaregs in Mali have also stated that to go to war against the government of Mali if it recognizes the "Board" puppet in Libya or if the government of Mali arrests people close to Muammar Al Gaddafi found in Mali.The Tuaregs remember that they are masters of the Sahara desert and that "only persons authorized by the Tuaregs may enter the desert" and have promised that "Sahara will be released from the Islamists." So the Tuaregs have given a clear answer to the people who keep sending NATO special forces units and Al Qaeda into the Sahara as occupation forces.
...............................
The people of Benghazi call to Al-Rai (Syrian television) to express their support for Muammar Al Ghaddafi and announce that they have rejoined the Libyan resistance. An American analyst, former military, has said the 32 Brigade under the command of Khamis Al Ghaddafi is able to continue fighting for many months. Khamis Al Ghaddafi continued regrouping operational elements deployed to fight the renegades in occupied areas........

A source reports that one of the rebel leaders, Ibrahim Tauorga Halban, who had massacred the African people based on the color of their skin, has died. The source said, "Tauorga is no longer alive. He was hit in Sirte by a bullet that entered his neck and paralyzed him." In Tripoli fighting does not cease. They are constant between local militias (the inhabitants of the capital) and the mercenaries of Al-Qaeda. The renegades are relentlessly attacked from all sides............


.......................................................

In Tripoli the fighting continues. There are constant battles between the local militias (the residents of the capital) and the "rebels" NATO and mercenaries from Al-Qaeda.
The NATO planes have continued its bombing in Sirte, Sabha, Bani Walid. But the three cities have strong defenses in combat against the armored forces of NATO. The fighting followed. Units of NATO, the army of Qatar and Al-Qaeda are using heavy artillery as they have integrated new artillery units. The city of Bani Walid has opened another front in the fight against the aggressors who were concentrated in the outskirts of the city, which is protected by national forces of the Great Jamahiriya.

http://www.globalresearch.ca/index.php?context=va&aid=26882
 
Back
Top Bottom