The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

pb-111018-gadhafi-cellphone-515a.grid-8x2.jpg


Hapo juu ni picha yake kwa hisani ya AFP through mobile.If true,ni unyama sana tu!
 
Acha ujinga na maudenda yako.Nenda kayafute kwanza ndo uongee.
Punguza mapovu ulitaka afe nani...saa hizi anaongea na kina Sadam na Osama rafiki zake, leo nimefurahi sana ngoja nikajipongeze.....waiter lete mbili za baridiiii!!!!!!!
 
Iko wapi?

Kwani ya Osama umeiona?

Gaddafi is Mar-hum; chapter closed. Fundisho kwa serikali zinanong'ang'ania madaraka kwa kutumia dola badala ya dhamana kutoka kwa wananchi. Na kwenye hili Tanzania tumo na chaguzi zetu za kibabebabe zisizotafsiri matakwa ya umma. Gaddafi kama angekuwa anatokana na wananchi wake wangemlinda. Fundisho kubwa sana wa madikteta wa Africa whether wawe wanarithishana madaraka kwa chaguzi za kitoto au wale wanaong'ang'ania madaraka wao tu ( Mugabe, Mu7 et al)
 
Dah! halafu jamaa wakasema eti kajeruhiwa miguuni!!!!
 
Honestly, to my opinion Gaddaf hajatendewa haki kabisa. Kaijenga Libya ambayo ilikua chini ya ufalme na watu walikua na shida akawatoa kote huko, leo wanamuondoa hivi?!! Is not fair kabisa.
 
Uwongo..............NRK2 wameonyesha sasa hivi picha ya mtu aliyeuwawa; siyo Gadaffi ila wanafanana mno, waasi wanatangaza propaganda za uongo. Long live Gadaffi!
 
I'm still kinda hesitant to just accept these pics knowing full well what people are capable of these days.
 
Dah! halafu jamaa wakasema eti kajeruhiwa miguuni!!!!
Wahuni hawa wamemmalizia!Nadhani badala ya kumpa medical attention,wao walimgombania labda na kummalizia.Wanyama sana hawa!Mtu amelitoa taifa mbali sana lakini wapi!Huu sana sana ni uadui wa kikabila huu!
 
R.i.p Gaddafi Afrika itakukumbuka.. Yeye na Mugabe ndo vichwa pekee viliokuwa vimebakia hapa Africa.
 
MSBC wameonyesha picha yake aisee! Alivyoshikwa akawa akisema DONT SHOOT! DONT SHOOT! Aisee wakampa kitu na boksi wazungu washenzi!
 
vurugu mechi,..mara kajeruhiwa mara kauwawa,mara hawana uhakika kama ndio yeye....f**k the media
 
Back
Top Bottom