MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065
nilikuwa natazama cnn television wakaonyesha jinsi walibya wanavyouchezea mwili wa gaddafi
halafu wakaonyesha wazungu waliokuwa wanatazama kwenye tv wakicheka kwa madharau
swali nalojiuliza waarabu watadharauliwa mpaka lini
wameshindwa kumchukua gaddafi na kumweka gerezani bila kuonyesha huo ukatuni?
hawajui wanaingia kwenye maisha mapya ya kutawaliwa na nato?
Kumbe Walibya ni Waarabu. Mimi nilifikiri ni Waafrika.