Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Wanazidi kumwongezea umaarufu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na yote uliyosema wewe utafanyaje?Huo ni ujambazi na ushenzi wa viongozi wa Marekani,hivi Gadaffi hata kama ni mbaya miaka yote akiwa kiongozi wa Libya hakuna hata zuri moja alilolifanya hadi azikwe kama mbwa? kuzikwa na watu wanne tu ni dharau kubwa na tusi kubwa pia kwa jamii ya kiislam,hivi wazungu wataendelea kuwanyanyasa waiislam hadi lini?
Say again...hahahaaaa!!!Wanazidi kumwongezea umaarufu..
​nadhani waliobakia ni mkewe na mtoto wa kike hivo waislamu huwa hawaendi mazishiniIna maana hata ndugu zake hawataoneshwa lilipo kaburi!!
NTC inaelekea kuigeuza Libya kuwa Somalia nyingine.
NTC wataendelea kumwogopa shujaa wangu Gaddaf m?lele da?ma,wanajua maamuz? yao ku?har?bu Nch? n? kosa kubwa sana wal?rubun?wa na
Wazungu na sahz bado wanawapelekesha.
Kwann wamuz?ke Shujaa kama Mbwakoko? Hata km al?kuwa D?ctator,
Lakn ubabe wake ulkuwa per?culate compared to other d?ctatorsh?p na h?l? ndo maana wazungu wal?um?za vchwa kuhak?k?sha kuwa wanampoteza.
Sio Waislam ni Waarabu wana nyanyaswa kwa sababu ya Mafuta yao wenyewe Uchumi wao wenyewe ndio unawaponza mpaka Marekani na Vibaraka wake wanawanyanyasa Waarabu. Ukisema Waislam umekusudia Waislam wa Dunia yote kwani hata hapo kwetu Tanzania wapo waislam usitumie kiigezo cha dini na mambo ya siasa mkuu.Huo ni ujambazi na ushenzi wa viongozi wa Marekani,hivi Gadaffi hata kama ni mbaya miaka yote akiwa kiongozi wa Libya hakuna hata zuri moja alilolifanya hadi azikwe kama mbwa? kuzikwa na watu wanne tu ni dharau kubwa na tusi kubwa pia kwa jamii ya kiislam,hivi wazungu wataendelea kuwanyanyasa waiislam hadi lini?