The rise and fall of young Africans Sc

The rise and fall of young Africans Sc

Si ndo ukweli huo?.
Kwamba mkataba wake unaisha MWEZI UJAO.
kwanini viongozi wa GSM wanawadanganya watu kuwa amesaini mkataba wa miaka 2?.
Mtaniii na Morison kajua kuwashughulisha.

Yaani kila mkiamka mnafuatilia kasema nini. Lol.
 
Leo kufungwa lazima tena sio chini ya magoal mawili
2289386_2289265_14eaa34c-6bd0-49bd-bf25-7086a7fdbf59.gif
 
Back
Top Bottom