The rise of Sauli luxury buses

The rise of Sauli luxury buses

If a person owns assets that are worth 1.2 billion and owes 150,000 in total, they can be considered a billionaire.

Hope umeelewa kwanini alikuwa Billionare😎😎
Okay!!

Kuna mtu hapo juu, kaandika kisa alikuwa na gari 6 ndio awe Billionea ndio nikamuuliza vigezo vya kuwa billionea ni vipi.
 
Okay!!

Kuna mtu hapo juu, kaandika kisa alikuwa na gari 6 ndio awe Billionea ndio nikamuuliza vigezo vya kuwa billionea ni vipi.
Kwanza kabisa, gari inajulikana kama depreciating asset, yaani kwa jinsi inavoendelea kutumika ndio inavyoshuka thamani
Pili, Una magari yenye jumla ya thamani ya 1.8 billion, ambayo umenunua kwa kipindi tofauti cha mudamrefu , hio jumla haifiki tena hio gharama kama ni jumla iliyofika billioni.
Tatu, ikiwa jumla ya magari na majumba yote yanafika billioni na huku una mikopo yenye thamani ya kutoa kwenye billioni, hapo tena hauna jumla ya thamani ya billioni.
 
Watu wa huo ukanda wa mbeya pesa zao huwa ni za moto..hata huyo sauli ni miongoni mwa watajwa.nadhani alichelewa kutoa kafara,wakapita nae.
 
Back
Top Bottom