The rise of Sauli luxury buses

The rise of Sauli luxury buses

Nyingine zilikuwa za mkopo

Kama ile DXE aliposhindwa kurejesha ikapigwa mnada Katarama akainunua

Ile DWL ilipomshinda ikapigwa mnada Tembo Safaris wakainunua

Anyway mwamba kaacha watoto 16
 
Rest in peace mwamba sauli

December 2018 Chuma zake za Kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha Na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya Kwa Ajili Ya Utambulisho

gosti 2019
Sauli Aliongeza Basi lake la Tatu Kutoka Scania Kwa Mara Nyingine Lenye Namba Ya Usajili T300 DRH Dereva Aliyekabithiwa Alikuwa na GoodLuck Mwinuka Maarufu
kama Mbeya Boy

May 2020
Sauli Alirudi Tena Scania Tanzania Limited Kuinunua Gari Yake Ya 4 Scania Gemilang Yenye Namba za Usajili T668 DTF

Maarufu Kama Mjeshi Yaan Konde Boy Mjeshi

Vyuma Vilikuwa Maarufu Kwa Majina Yake Utani

Sauli Benz - ESCAPE PLAN
Sauli DPN - IACHE IENDE
Sauli DRH - MBEYA BOY
Sauli DTF - MJESHI

Kama Ilivyokawaida Yake Mkurugenzi Alikuwa Ni Mkeleketwa Wa SCANIA

Akaenda Tena Kununua Scania 3 Zingine
Marcopolo G7 DXE
Scania Gemilang DWL
Scania GEMILANG DWF

Akaanza na Ruti Mpya Ya Dar - Tunduma

R.I.P SAULI 🙏
Hata Mimi nimeshangaa yaani kelele na promo ni kubwa sana kana kwamba ni Abood ametoweka 😂😂😂

Watu wa Mbeya Kwa Mabasi ni tatizo
 
If a person owns assets that are worth 1.2 billion and owes 150,000 in total, they can be considered a billionaire.

Hope umeelewa kwanini alikuwa Billionare😎😎
Huo ni ubilionea kibongo bongo tu, kimataifa bilionea ni kuanzia $1B, chini ya hapo ni millionaire.
 

Attachments

  • FB_IMG_1723148447608.jpg
    FB_IMG_1723148447608.jpg
    14.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom