Our thoughts are driven by what we are fed by the media..........Reading/hearing the term ''Somalia'',the first thing that comes up is either War or Piracy..Yaani kumbe kuna maeneo ya Mogadishu imetulia hivi, mawazo ya wengi wetu huwa yunaona mabomu tu basi. Mungu awasaidie wasivuruge tena.
Hata mi pia huwa naona kenya imejaa uchafu,Yaani kumbe kuna maeneo ya Mogadishu imetulia hivi, mawazo ya wengi wetu huwa yunaona mabomu tu basi. Mungu awasaidie wasivuruge tena.
Moja ya fall ya siad Barre ni nepotism na favouritism kwa clan yake na udictator na kuua upinzaniI hope Al Shabaab isn't much of a hard nut to crack anymore...What about the tribal warlords?..These have been the major drawbacks since Siad Barre regime.
Al shabaab wapo maeneo ya kusini ,lkn north,west,east wapo govt ..Mogadishu ni capital cty yaoYaani kumbe kuna maeneo ya Mogadishu imetulia hivi, mawazo ya wengi wetu huwa yunaona mabomu tu basi. Mungu awasaidie wasivuruge tena.
ni kweli,faction nyingi hazina notoriety kama miaka ya tisini na kurudi nyuma..tunaweza sema si tatizo sasa...wakitulia kama majirani zao Somaliland kutakuwa na opportunity nyingi za kiuchumi..Moja ya fall ya siad Barre ni nepotism na favouritism kwa clan yake na udictator na kuua upinzani
Yy alikuwa na upendeleo kwa clan yake ndio maana akaangushwa ndio clan war ikatokea
Lkn saizi hawana clan war ,ukabila hawana lkn ttzo ni serikali vs al shabaab
Ila maeneo ya kusini ndio al shabaab wapo tu