FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Yaani kumbe kuna maeneo ya Mogadishu imetulia hivi, mawazo ya wengi wetu huwa yunaona mabomu tu basi. Mungu awasaidie wasivuruge tena.
nairobi niijuwayo:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kumbe kuna maeneo ya Mogadishu imetulia hivi, mawazo ya wengi wetu huwa yunaona mabomu tu basi. Mungu awasaidie wasivuruge tena.
Wakenya wanasifia Mogadishu sasa nairobi 'uijuayo' imetoka na wapi jameni? yani mpenda alshabaab hautaki hata tusifie Somali mpya, unataka kuona mabomu na sheria law ndo usikie rahanairobi niijuwayo:
![]()
Wakenya wanasifia Mogadishu sasa nairobi 'uijuayo' imetoka na wapi jameni? yani mpenda alshabaab hautaki hata tusifie Somali mpya, unataka kuona mabomu na sheria law ndo usikie raha
Hebu kajisomee tena nini MK254 alikua anaongelea, Ata huna aibu! Mogadishu ilikua ni gofu kabla ya AMISOm kwenda Somalia, Somali ya sasa inajengwa na wale diaspora wanaorudi kutoka nchi zengine, Hawangeweza kufanya hivyo kama AMISOM haingekua Somalia!!Wacha kiherehere kasome tena post niliyoijibu.
Nyinyi kauweni Wasomali muwache kujenga kwenu, si mnaona palivyo?
Hebu kajisomee tena nini MK254 alikua anaongelea, Ata huna aibu! Mogadishu ilikua ni gofu kabla ya AMISOm kwenda Somalia, Somali ya sasa inajengwa na wale diaspora wanaorudi kutoka nchi zengine, Hawangeweza kufanya hivyo kama AMISOM haingekua Somalia!!
Mogadishu ilikua imeharibika sana kabla AMISOM kuingia
View attachment 438883 View attachment 438884 View attachment 438885 View attachment 438886 View attachment 438887 View attachment 438888
nairobi niijuwayo:
![]()
Ewe nyang'au,
Kwanza hizo picha ulizoweka ni historical heritage buildings, kama za Mombasa au Zanzibar, ambazo haziruhusiwi kubomolewa au kufanyiwa repair bila vibali na utaalam wa serikalini.
Pili, kaone picha ya Nairobi niliyoiweka. Sasa kwanini hamtegenezi kwenu mmekazania "kuijenga" Somalia? Au mnafanya kazi za mabwana zenu huko?
Punguani wahed.
Jihadi mfia dini bibiye katika ubora wake!
Kuwatukana wenzio mbele ya kadamnasi ni suna kwako.......kweli ni fani ulobobea.
Kelb hayawan wahed!
Ewe nyang'au,
Kwanza hizo picha ulizoweka ni historical heritage buildings, kama za Mombasa au Zanzibar, ambazo haziruhusiwi kubomolewa au kufanyiwa repair bila vibali na utaalam wa serikalini.
Pili, kaone picha ya Nairobi niliyoiweka. Sasa kwanini hamtegenezi kwenu mmekazania "kuijenga" Somalia? Au mnafanya kazi za mabwana zenu huko?
Punguani wahed.
Hahaha!!!Hata mi pia huwa naona kenya imejaa uchafu,
Hatimae nikafatilia nikajua kumbe kuna maeneo ya kenya hayana uchafu
We jimama sijui hapo ulipo unafanya nini, umechanganyikiwa haujuelewi, rudi nyuma kidogo
usome wa comments vizuri, hakuna mtu medai wakenya ndo wanajenga Somalia, watu hapa
wanasifu vile Somalia ni mwamko mpya, kwamba wameanza kujenga miji baada ya miaka ya vita..
Kama kuna mkenya yeyote amehusika kwa ujenzi wa jumba lolote basi alilipwa kama mfanyikazi wala
hakujitolea bure, na alilipwa na wasomali wenyewe, kwahivyo nguvu zote za kuijenga Somali ni wasomali
wenyewe, Kenya na AMISOM imehusika tu kwa kuregesha usalama na serikali wala sio ujenzi ambaoo ndo unaongelewa hapa
......
Alafu mi nakuonyesha vile alshabaab walikua wameharibu Mogadishu we unaniambia sijui majumba hayawezi haribiwa wala kurekebishwa
hadi ruhusa ya Serikali... hahahah, hivi kwani ulikua haijui tangu 1991 hadi 2007 Somali ilikua haina serikali, hadi mwaka wa 2007
Serikali ya Somalia ilikua hapa Nairobi...Ama unataka utuambie serikali Halisi ni Alshabaab ambao wakati huo ilikua hakuna
kwenda shule, hakuna kuangalia runinga, hakuna kuogelea, hakuna hat a kulima....ndo maana wasomali walikua wanafika huku Kenya
kukimbia vita na njaa maana alshabaab walikua hawaruhusi msaada kwa wasomali.. unafikiri walikua wanajali eti majumba ya kihistoria ambayo
90% ya mogadishu ni majumba ya kihistoria yaliyojengwa kitambo sana...
Somali inainuka na punde si punde wataweza kusimama kwa miguu miwili upende usipende, ndugu zako Alshababy watakua historia
kombamwiko katili wewe!