The Rising Mogadishu city.

The Rising Mogadishu city.

Yaani kumbe kuna maeneo ya Mogadishu imetulia hivi, mawazo ya wengi wetu huwa yunaona mabomu tu basi. Mungu awasaidie wasivuruge tena.

nairobi niijuwayo:

3.jpg
 
Nimemuona mtu kama Hussein Bashe anajichukua Selfie kwenye picha moja!!!
 
Ukweli hiyo Nchi ikiweza kutlia na kuform gud goverment na kuacha kulipuwana inaweza kuwa na maendeleo kuliko Nchi yeyeto ukanda wamashariki.

Sababu half of their population wapo Abroad watakuwa na maendeleo sn ...na watot wao watakuwa wamesoma vizuri sn ...ila tatizo cjui culture yao kama itakuwapo tena .
 
Hakuna kilchokuwa na mwanzo bila kuwa na Mwisho...... Vurugu zitakwisha na
Mwanzo mzuri utaanza, Vizazi vipya vitachipuwa .... Tuombeane Amani na Salama ya maisha...

Somaliya msilete ujinga tena !!!!
 
nairobi niijuwayo:

3.jpg
Wakenya wanasifia Mogadishu sasa nairobi 'uijuayo' imetoka na wapi jameni? yani mpenda alshabaab hautaki hata tusifie Somali mpya, unataka kuona mabomu na sheria law ndo usikie raha
 
Wacha kiherehere kasome tena post niliyoijibu.

Nyinyi kauweni Wasomali muwache kujenga kwenu, si mnaona palivyo?
 
Hebu kajisomee tena nini MK254 alikua anaongelea, Ata huna aibu! Mogadishu ilikua ni gofu kabla ya AMISOm kwenda Somalia, Somali ya sasa inajengwa na wale diaspora wanaorudi kutoka nchi zengine, Hawangeweza kufanya hivyo kama AMISOM haingekua Somalia!!

Mogadishu ilikua imeharibika sana kabla AMISOM kuingia
mogadishu-rebuilding-reconstruction-diaspora.jpg
522590.jpg
A_view_over_the_Mogadishu_coast-thumb-500x335-5494.jpg
dsc_6936.jpg
Mogadishu_6_69714b.jpg
mogadishu-008.jpg
 
Hebu kajisomee tena nini MK254 alikua anaongelea, Ata huna aibu! Mogadishu ilikua ni gofu kabla ya AMISOm kwenda Somalia, Somali ya sasa inajengwa na wale diaspora wanaorudi kutoka nchi zengine, Hawangeweza kufanya hivyo kama AMISOM haingekua Somalia!!

Mogadishu ilikua imeharibika sana kabla AMISOM kuingia
View attachment 438883 View attachment 438884 View attachment 438885 View attachment 438886 View attachment 438887 View attachment 438888

Ewe nyang'au,

Kwanza hizo picha ulizoweka ni historical heritage buildings, kama za Mombasa au Zanzibar, ambazo haziruhusiwi kubomolewa au kufanyiwa repair bila vibali na utaalam wa serikalini.

Pili, kaone picha ya Nairobi niliyoiweka. Sasa kwanini hamtegenezi kwenu mmekazania "kuijenga" Somalia? Au mnafanya kazi za mabwana zenu huko?

Punguani wahed.
 
Jihadi mfia dini bibiye katika ubora wake!
Kuwatukana wenzio mbele ya kadamnasi ni suna kwako.......kweli ni fani ulobobea.
Kelb hayawan wahed!
 
Ewe nyang'au,

Kwanza hizo picha ulizoweka ni historical heritage buildings, kama za Mombasa au Zanzibar, ambazo haziruhusiwi kubomolewa au kufanyiwa repair bila vibali na utaalam wa serikalini.

Pili, kaone picha ya Nairobi niliyoiweka. Sasa kwanini hamtegenezi kwenu mmekazania "kuijenga" Somalia? Au mnafanya kazi za mabwana zenu huko?

Punguani wahed.

We jimama sijui hapo ulipo unafanya nini, umechanganyikiwa haujuelewi, rudi nyuma kidogo
usome wa comments vizuri, hakuna mtu medai wakenya ndo wanajenga Somalia, watu hapa
wanasifu vile Somalia ni mwamko mpya, kwamba wameanza kujenga miji baada ya miaka ya vita..
Kama kuna mkenya yeyote amehusika kwa ujenzi wa jumba lolote basi alilipwa kama mfanyikazi wala
hakujitolea bure, na alilipwa na wasomali wenyewe, kwahivyo nguvu zote za kuijenga Somali ni wasomali
wenyewe, Kenya na AMISOM imehusika tu kwa kuregesha usalama na serikali wala sio ujenzi ambaoo ndo unaongelewa hapa
......
Alafu mi nakuonyesha vile alshabaab walikua wameharibu Mogadishu we unaniambia sijui majumba hayawezi haribiwa wala kurekebishwa
hadi ruhusa ya Serikali... hahahah, hivi kwani ulikua haijui tangu 1991 hadi 2007 Somali ilikua haina serikali, hadi mwaka wa 2007
Serikali ya Somalia ilikua hapa Nairobi...Ama unataka utuambie serikali Halisi ni Alshabaab ambao wakati huo ilikua hakuna
kwenda shule, hakuna kuangalia runinga, hakuna kuogelea, hakuna hat a kulima....ndo maana wasomali walikua wanafika huku Kenya
kukimbia vita na njaa maana alshabaab walikua hawaruhusi msaada kwa wasomali.. unafikiri walikua wanajali eti majumba ya kihistoria ambayo
90% ya mogadishu ni majumba ya kihistoria yaliyojengwa kitambo sana...

Somali inainuka na punde si punde wataweza kusimama kwa miguu miwili upende usipende, ndugu zako Alshababy watakua historia
kombamwiko katili wewe!
 
you have been successfully trolled. dont give that heffa one reply and she'll disappear again
 
Back
Top Bottom