Mkuu you mean kusulibiwa kwote kwa bwana ilikua kiroho sio physical mbona vinavyo kosa ushahidi unasema ni vya kiroho don't be selective plz.Seeing is believing" hii satanic statement inayobebwa na waumini wa dini za kishetani na waliomezwa na factual za kisayansi wakasahau kwamba mambo ya rohoni ni zaidi ya sayansi,
Kuna matukio mengi sana yalitendeka na hayawezi dhibitishwa na sayansi,. ,,, Afano kufungunguka kwa ardhi na kumeza robo ya Wana wa Israel pale jangwani,na Kisha kujifunga Tena,,
Ushaambiwa tetemeko kubwa lilitikisa nchi na roho zilizokuwa kuzimu zikaonekana zikipanda ,alafu Bado unataka udhibitisho wa tetemeko tu lililosababisha hizo roho zikapanda juu ,hutaki kujua kuhusu roho zilizopanda!?? Embu acheni kutafuta hoja ili tu kulinda mnachoamini
Yesu alikuwa mwilini ,lakini pia alitenda mambo mengi ya kiroho ambayo huwezi yadhibitisha kisayansi , na mengine yaliwezekana kwa sababu matokeo yake yalikuwa ya mwilini zaidi,ila operation zake zilifanyika rohoniMkuu you mean kusulibiwa kwote kwa bwana ilikua kiroho sio physical mbona vinavyo kosa ushahidi unasema ni vya kiroho don't be selective plz.
Kwahiyo la kufufka na kusulibiwa lilikua la kiroho au la mwili?Yesu alikuwa mwilini ,lakini pia alitenda mambo mengi ya kiroho ambayo huwezi yadhibitisha kisayansi , na mengine yaliwezekana kwa sababu matokeo yake yalikuwa ya mwilini zaidi,ila operation zake zilifanyika rohoni
Kusuribiwa kimwili, kiroho ni kufufuka na kupaa mbinguni,,Kwahiyo la kufufka na kusulibiwa lilikua la kiroho au la mwili?
Mkuu huo ni upande wa pili wa Yesu kweli alisulubiwa ushahidi upo? Kweli alikufa ushahidi upo kweli alifufuka ushahidi upo? Hizo ni mada pana hatuwezi kuzijadili na hilo la mathayo alio buni, sasa limekosa ushahidi wataalamu wanalihamisha kua la kiroho, mimi sijawahi kusikia tetemeko la aridhi la kiroho🤣🤣🤣🤣🤣ukuristo raha sanaKwasababu yameandikwa kwenye biblia na hujaona ushahid wa Kisayansi.
Basi Jikite zaid Kuamini haya maandiko ya Quran kwasababu ushahidi wa kisayansi upo.
Ya Kuwa Yesu alipaa.
Allah alimpaisha Yesu na siku ya Kiama atarud.
Hakuna mtume ambaye amemzidi Yesu kwenye Quran.
Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”
Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
mkuu hizo ni mada zingine zenye kuleta ushahidi kudhizibitisha hatuwezi kuzichanganya na hizi za mathayoKwasababu yameandikwa kwenye biblia na hujaona ushahid wa Kisayansi.
Basi Jikite zaid Kuamini haya maandiko ya Quran kwasababu ushahidi wa kisayansi upo.
Ya Kuwa Yesu alipaa.
Allah alimpaisha Yesu na siku ya Kiama atarud.
Hakuna mtume ambaye amemzidi Yesu kwenye Quran.
Quran 4: 157-158
"Na kwa kusema kwao: "Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu." Lakini hawakumuuwa wala hawakumsulubu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi wowote nayo, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.”
Quran 3:55
"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana"
mkuu hizo ni mada zingine zenye kuleta ushahidi kudhizibitisha hatuwezi kuzichanganya na hizi za mathayo
Mkuu huo ni upande wa pili wa Yesu kweli alisulubiwa ushahidi upo? Kweli alikufa ushahidi upo kweli alifufuka ushahidi upo? Hizo ni mada pana hatuwezi kuzijadili na hilo la mathayo alio buni, sasa limekosa ushahidi wataalamu wanalihamisha kua la kiroho, mimi sijawahi kusikia tetemeko la aridhi la kiroho🤣🤣🤣🤣🤣ukuristo raha sana
Kuna vitu havionekani kwa macho ya nyama, ndio vya kiimani.Ukimchinja kuku wakati anakufa unaona.Lakini roho inapotoka huioni.Lakini unaamini roho imemtoka kiumbe hata kama hujaona kwa macho ya nyama.Ndio maana wamekuambia sayansi inahangaika kujua mambo ya kiroho(Imani) lakini mambo ya kiroho hayahangaikii kujua mambo ya kisayansi.Anayehangaika kujua ya mwenzake yeye hajitoshelezi.Anatafuta kutosheka.Na sayansi haitakaa itosheke kujua mambo ya KIROHO.Mkuu you mean kusulibiwa kwote kwa bwana ilikua kiroho sio physical mbona vinavyo kosa ushahidi unasema ni vya kiroho don't be selective plz.