Hata SGR ya bongo kama itakuwepo ni fully mkopoAbiria pekee haiwezi kukupa faida kwenye SGR, na hata mizigo ikiwa michache bado ni tatizo kubwa, hasa wenzetu ambao pesa ya ujenzi yote ni mkopo. Unapo kopa unakuwa na tatizo zaidi: Unanyimwa uhuru kuweza kuendesha biashara nje ya makubaliano ya mkopo.
Hizi habari wadanganye wanaufipa unaowaongoza kama kamanda mkuu.
Watalii hawaji Tanzania kuona mlima kilimanjaro kama unavyofikilia zipo taratibu ambazo ni kupitia kwa mawakala wa utalii.
Ndio tatizo la watanzania wanafurahi utafikiri mazuri ishu ipo kati ya Total na Uganda GOV.Acha kupotosha watu wewe dogo,mradi wa bomba la mafuta umechelewa sababu ya makubaliano kati ya Total na serikali ya uganda kuchukua muda mrefu. Kwani mafuta yameanza kuchimbwa huko Uganda?
Sisi tunanufaika bomba kupita hapa Tanzania ili mafuta yasafirishwe,sasa unaanza kuleta lawama hata mafuta hayajaanza kuchimbwa,unatakaka kusafirisha hewa?
Siasa ni uchumi. A country with large economy always has more influence, politically and economically.Naona mkuu Pascal Mayalla analeta siasa kwenye mambo makubwa ya uchumi.
Akawa anaoonyesha na sehemu pesa zitaiingia baada ya 2020, watu wakawa wanarukaruka kama wendawazimu.
Kutoa huduma yeyote kwa nchi au jamii yenye watu zaidi ya milioni 12 ambayo ni monopolistic in nature, ni maamuzi sahihi kabisa kiuchumi.Kupeleka SGR hadi mpaka wa Rwanda ni ujinga maana mizigo yao si mingi
Mkuu tindo , kwanza hoja iliyo mezani ni SGR, bomba la mafuta ni something else, ila kwa vile mimi na Total ni dam dam, nitakuelimisha kidogo kuhusu kuchelewa kwa mradi huu, has nothing with us, mradi huu kwanza umechelewa na Uganda kwa kampuni ya Tullow kushindwa kuelewana na Total kuhusu mgawanyo wa mapato, hili limemalizika, Total imeinunua kampuni ya Tullow 100%, sasa mambo yanaendelea. Ila kitakachochelewesha mradi kuanza, ni kitu kinachoitwa "price elasticity of demand", wakati ule barrel la crude oil ilikuwa $ 60 sasa ni $ 16 per barrel, hivyo sasa wasoma trends wana soma kwa makini economic projections kama price itakuja ku stabilize in a near future, ndipo ujenzi uanze, vinginevyo kwa bei hiyo ya $ 16 per barrel, haiwezi kulipa gharama za extraction, treatment and transport, itakuwa ni hasara, hivyo the final ivestment decision bado haijasainiwa!.
P
Upotoshaji gani bro? Mkataba wa kusafirisha mafuta sio wa Uganda na Tanzania? Kwani pale Chongoleani ulikuwa mkataba wa kuchimba mafuta? Wazungu wa Total kuwepo ili kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi ni vibaya mpaka unachanganya mambo?Kama mkataba wa mradi ulikuwa bado haujafikiwa, lile igizo la kuzindua mradi lilikuwa la nini pale Tanga mbele ya marais wawili, na hao wazungu wa Total? Serikali yetu haiwezi kuchelewesha chochote maana ilikuwa haitoia hata shilingi zaidi ya eneo la kijiografia kupitisha bomba. Japo kulikuwa na upotoshwaji wa wazi kuonyesha kuwa ni mkataba wa Tanzania na Uganda. Wakati ule tulikuwa tunasikia sifa za wazi zilizojaa propaganda kumsifu Magufuli kuwa ni sehemu ya mafanikio yake, tulisema wazi sifa zile ni za upotoshaji.
Sasa hao wakongo si wanapitia Tunduma ili wapitie Lubumbashi badala ya kupia kigoma kwenye miundombinu mibovu.Japo sio kweli kuwa asilimia kubwa ya mzigo unaopita bandari ya Dar ni wa Congo DRC, mzigo mkubwa wa Dar Port ni unaovuka Tunduma!. Ila kwenye long plan ya SGR yetu itafika Kigoma.
P
'Kwakuwa nilikuwa namjua Museveni nitapeli nilikuwa nacheka kwa nguvu.'Nimecheka kwa nguvu hiki unachoandika hapa Paskali, unazungumzia faida ya SGR kwani hata imekamilika hiyo SGR? Nakumbuka ile siku ya uzinduzi wa bomba la mafuta Chongoleani Tanga, nilimsikia rais akipiga faida ya kodi ya mapipa ya mafuta tutakayoanza kupata kuanzia hii 2020 mradi ukishakamilika. Akawa anaoonyesha na sehemu pesa zitaiingia baada ya 2020, watu wakawa wanarukaruka kama wendawazimu. Kwakuwa nilikuwa namjua Museveni nitapeli nilikuwa nacheka kwa nguvu. Leo hii yako wapi kuhusu mradi wa bomba la mafuta, zaidi ya juzi Museveni kuja kumpigia kampeni Magufuli kwa kisingizio cha huo mradi? Unachoongea hapa Paskali ni zile porojo za ma Motivational speakers.
Upotoshaji gani bro? Mkataba wa kusafirisha mafuta sio wa Uganda na Tanzania? Kwani pale Chongoleani ulikuwa mkataba wa kuchimba mafuta? Wazungu wa Total kuwepo ili kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi ni vibaya mpaka unachanganya mambo?
Hujui kuwa Kenya walitaka hili bomba lipite kwao? Kwa hiyo hili bomba kupita hapa Tanzania huoni ni mafanikio? Manufaa ya hili bomba hulijui?
Acha nicheke maana unataka kujipaisha kwa pumba za kishamba. Unakomalia kipande cha Sgr Moro to Dar kuona kama una point za kuaminisha watu kuwa Tanzania imekwama,hujui kwenye ujenzi hata kama projection ya mradi kumalizika ni miaka mitatu huwa kuna muda wa ziada,maana huwa kuna incoviniences nyingi. Hujui kuwa hata topography ya ya Moro to Dar ni vikwazo kwenye ujenzi?Sijui hata unaoongea nini hapa, naona unanivuruga tu. Acha nideal na Paskali yeye ndio ana akili japo ugumu wa maisha umemchanganya. Ww kajipongeze na kura za kwenye mabeg, hii mada iko nje ya upeo wako.
Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida. Ili SGR iendeshwe kwa faida, ni lazima iwe na kitu kinachoitwa linkages, yaani muunganisho kati ya nchi moja na nyingine, ili hiyo SGR ipate mzigo wa kushiba na ku operate kwa faida.
Kwa nchi za Afrika Mashariki, Kenya ikitumia mtindo wa "ujanja kuwahi", ikawa ndio nchi ya kwanza kuchangamkia fursa hivyo ikajenga SGR ya Mombasa-Nairobi-Naivasha-Malaba, ili mzigo wa Uganda na Rwanda upitie bandari ya Mombasa, na Uganda ingejenga SGR kupokea mzigo wake na wa Rwanda na kuufikisha Kigali. Hivyo the linkaje ya mzigo wa Uganda na Rwanda, ndio roho ya SGR ya Kenya, Mchina kupitia benki yake ya EXIM akakubali kugharimia kila kitu.
Kumbe "ujanja nsi kuwahi, ni kupata", JPM baada tuu ya kuchaguliwa,ziara yake ya kwanza nje ya nchi, ni kutembelea Rwanda, wakakubaliana SGR ya Tanzania itaungana na ya Rwanda. Hivyo kitendo tuu cha kukubaliana SGR ya Tanzania itajiunga na Rwanda, ile linkages ya SGR ya Uganda kwenda Rwanda, ikakatika, hivyo SGR ya Kenya kuunga Uganda haitakuwa na faida, hali hiyo ikikapelekea mfadhili kujitoa kuendeleza SGR ya Kenya sasa itaishia Naivasha, na hakuna funding tena ku fund SGR ya Uganda!.
Baada ya mchina kugoma kugharimia SGR ya Uganda, MU7, nae kaamua kumfuatilisha JPM kwa kuamua kujenga SGR ya Uganda hata kama Kenya anasuasua. Uamuzi huu wa Uganda kujenga SGR yake bila kuitegemea Kenya ni fursa nyingine kubwa kwa SGR ya Tanzania na Bandari ya Dar es Salaam kubeba mzigo wote wa Uganda.
Ili sisi Tanzania kuweza kuichangamkia fursa hii mpya, sasa hapa ndio "ujanja kuwahi", kwa kujenga SGR ya Mwanza fasta, ili mzigo wa Uganda ushuke Dar, ukimbizwe Mwanza, uvushwe ziwa Victoria hadi Uganda. Hili likifanyika, sio tuu, Bandari ya Dar itabeba cargo ya Uganda tuu, bali cargo kutoka South Sudan na North Eastern DR Congo itapitia bandari ya Dar es Salaam kupelekwa Mwanza. Changamoto pekee, in umbali wa route hii, kama italipa, na changamoto ya hatari zaidi, ni bada ya MU7 kuamua kujenga SGR, Kenya anaweza na yeye kuamua kukijenga kipande cha Naivasha-Malaba.
Background.
Taarifa za Uganda kujenga nmezisoma hapa Uganda plans to go it alone and build 2,700km-long standard gauge railway.
SGR ndio kipimo cha the economic super power of EAC, hivyo ni vita kubwa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...www.jamiiforums.com
The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...www.jamiiforums.com
The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...www.jamiiforums.com

My Take
Kama tumeweza kuwapiga Tanchi kwenye SGR ya kuunganisha na Rwanda, kisha tukawapiga Tanchi kwenye bomba la mafuta la Uganga, Tanzania tukifanikiwa kuifikisha SGR yetu, Mwanza, hadi Kigoma, na pia tukajenga SGR to Tunduma, Tanzania ndio itakuwa the super power of EAC Region, na kama tukiifanya Dar Port kuwa a free port kwa baadhi ya bidhaa, with The AfCFTA in place!, Tanzania will fly!, no one will catch us!.
Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali
Unawapiga nondo za hatareNashukuru kwa maelezo yako ya hiyo John Walker.
Tuje kwenye huo upotoshaji wako wa kipande cha Dar-Moro. Unasema tatizo ni ugonjwa wa corona, huu ni uongo wa mchana kweupe, kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Nov 2019. Ugonjwa wa corona ulianza mwishoni mwa Dec 2019, hivyo bajeti ya kipande cha Dar-Moro hakina uhusiano wowote na janga la corona.
Rais wa China ndio apige simu kwetu akibembeleza nini labda? Hiyo ya China kufund hiyo project ya SGR ni makubaliano ambayo JK alikuwa kaingia na wachina, ila alipoingia Magufuli aligoma maana alisema mradi uko overestimated, hivyo akasema tutajenga kwa fedha zetu za ndani maana sisi ni matajiri. Mradi hawakupewa tena wakandarasi wa kichina, akapewa Mturuki. Tunaojua ukweli tulisema Tanzania haina fedha za ndani 10t za kujenga huo mradi, nyie wazalendo mkaamini, leo hii kipande tu cha Dar-Moro ndio inabidi uuongope kuwa sababu ni Corona. Kwa taarifa yako hapa tulipokwama, huo mradi wa Bagamoyo utaanza tena kwa masharti mabaya kuliko ilivyokuwa enzi za JK.
Nikushauri Paskali wakati mwingine kaa kimya tu, hivi hujajifunza kuwa ccm imejaa matapeli? Unakumbuka kabla ya Magufuli kuingia madarakani ule wimbo wa uchumi wa gas, unakumbuka zile data za profesa Muhongo? Leo yako wapi? Wakati tumeanza mambo ya porojo za uchumi wa gas tulianza na Mozambique hapo, leo Msumbiji wanaendelea na ujenzi ya gas plant ya $20b mradi mkubwa kuliko wa bandari ya Bagamoyo uliokuwa uwe wa $10b. Sisi sasa hivi tumeachana na umeme wa gas uliokuwa uzalishe 5,000MW, tumerudi kwenye umeme wa maji utakaozalisha 2,115MW kwa 6.5t! Je tungeweka tu 3t kwenye umeme wa gas ambapo bomba tayari liko hapa Dar na uzalishaji umeanza tusingepata hizo 2,115MW? Saa hii unaanzisha mada za kujichoresha za SGR wakati miaka mitatu 300km tu bado. Toka nje ya box kaka, hoji mambo ya msingi, haya mapambio hayakutoi.
Lengo kuu la Tanzania ni kutoa huduma ya kusafirisha mizigo inayo ingia na kutoka Congo yote ya Mashariki.Sasa hao wakongo si wanapitia Tunduma ili wapitie Lubumbashi badala ya kupia kigoma kwenye miundombinu mibovu.
Kipi usichoelewa hapo.
Kwa hiyo ulitaka usafirishe mafuta toka Uganda au maji? Maana unakomalia bomba kuanza kujengwa hata muafaka wa kuchimba mafuta bado,tumia akili we dogo.Hebu tulia, hapa tunavuruga tu mada ya Paskali ambayo ni SGR. Sioni kama unaelewa lolote. Huo mradi ulikuwa ukamilike hii 2020 kutokana na porojo za wakati ule. Bado siku 5 mwaka huu uishe na mradi bado. Sasa jikite kwenye mada ya SGR kama una hoja, hii ya bomba ni nje ya mada, na huna ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu kwenye huo mradi.
Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida. Ili SGR iendeshwe kwa faida, ni lazima iwe na kitu kinachoitwa linkages, yaani muunganisho kati ya nchi moja na nyingine, ili hiyo SGR ipate mzigo wa kushiba na ku operate kwa faida.
Kwa nchi za Afrika Mashariki, Kenya ikitumia mtindo wa "ujanja kuwahi", ikawa ndio nchi ya kwanza kuchangamkia fursa hivyo ikajenga SGR ya Mombasa-Nairobi-Naivasha-Malaba, ili mzigo wa Uganda na Rwanda upitie bandari ya Mombasa, na Uganda ingejenga SGR kupokea mzigo wake na wa Rwanda na kuufikisha Kigali. Hivyo the linkaje ya mzigo wa Uganda na Rwanda, ndio roho ya SGR ya Kenya, Mchina kupitia benki yake ya EXIM akakubali kugharimia kila kitu.
Kumbe "ujanja nsi kuwahi, ni kupata", JPM baada tuu ya kuchaguliwa,ziara yake ya kwanza nje ya nchi, ni kutembelea Rwanda, wakakubaliana SGR ya Tanzania itaungana na ya Rwanda. Hivyo kitendo tuu cha kukubaliana SGR ya Tanzania itajiunga na Rwanda, ile linkages ya SGR ya Uganda kwenda Rwanda, ikakatika, hivyo SGR ya Kenya kuunga Uganda haitakuwa na faida, hali hiyo ikikapelekea mfadhili kujitoa kuendeleza SGR ya Kenya sasa itaishia Naivasha, na hakuna funding tena ku fund SGR ya Uganda!.
Baada ya mchina kugoma kugharimia SGR ya Uganda, MU7, nae kaamua kumfuatilisha JPM kwa kuamua kujenga SGR ya Uganda hata kama Kenya anasuasua. Uamuzi huu wa Uganda kujenga SGR yake bila kuitegemea Kenya ni fursa nyingine kubwa kwa SGR ya Tanzania na Bandari ya Dar es Salaam kubeba mzigo wote wa Uganda.
Ili sisi Tanzania kuweza kuichangamkia fursa hii mpya, sasa hapa ndio "ujanja kuwahi", kwa kujenga SGR ya Mwanza fasta, ili mzigo wa Uganda ushuke Dar, ukimbizwe Mwanza, uvushwe ziwa Victoria hadi Uganda. Hili likifanyika, sio tuu, Bandari ya Dar itabeba cargo ya Uganda tuu, bali cargo kutoka South Sudan na North Eastern DR Congo itapitia bandari ya Dar es Salaam kupelekwa Mwanza. Changamoto pekee, in umbali wa route hii, kama italipa, na changamoto ya hatari zaidi, ni bada ya MU7 kuamua kujenga SGR, Kenya anaweza na yeye kuamua kukijenga kipande cha Naivasha-Malaba.
Background.
Taarifa za Uganda kujenga nmezisoma hapa Uganda plans to go it alone and build 2,700km-long standard gauge railway.
SGR ndio kipimo cha the economic super power of EAC, hivyo ni vita kubwa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...www.jamiiforums.com
The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...www.jamiiforums.com
The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...www.jamiiforums.com
The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...www.jamiiforums.com
My Take
Kama tumeweza kuwapiga Tanchi kwenye SGR ya kuunganisha na Rwanda, kisha tukawapiga Tanchi kwenye bomba la mafuta la Uganga, Tanzania tukifanikiwa kuifikisha SGR yetu, Mwanza, hadi Kigoma, na pia tukajenga SGR to Tunduma, Tanzania ndio itakuwa the super power of EAC Region, na kama tukiifanya Dar Port kuwa a free port kwa baadhi ya bidhaa, with The AfCFTA in place!, Tanzania will fly!, no one will catch us!.
Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali
Wishful thinking ya Pascal Mayalla inachekesha lakini ndo tabia ya njaa ikizidi hata nguli anakuwa mjinga(sorry Pascal). SGR ni Mradi wa EAC wa kuunganisha nchi 6 wanachama kwa Reli yenye uwezo zaidi kuliko iliyopo ambayo ni nyembamba na reli ndogo kwa hiyo treni zake haziwezi kwenda kasi na kubeba mzigo mzito. Kila nchi mwanachama ilipewa sehemu yake ya kujenga ndo maana nchi zingine zanajenga kwenye nchi za wengine kama Rwanda inajenga toka Isaka na Burundi toka Uvinza. Tanzania inajenga toka Dar mpaka Uvinza mpaka Mwanza na Kenya inajenga toka Mombasa mpaka mpakani na Uganda halafu mpaka Kisumu na Uganda itajenga toka mpakani na Kenya mpaka Port Bell, ziwa Viktoria ikiwa na maana kuwa bandari ya Mwanza, Kisumu na Port Bell zitakuwa zimeunganishwa kuwa Railway Ferry. SGR ikikamilika nchi wanachama zote zitakuwa zimeungana na Bandari za Dar, Mombasa, Mwanza, Kisumu na Port Bell na nchi wanachama zitakuwa na Mashirika yao ya Reli kama TRC, KRC nk. Kama SGR ingefika Isaka, Rwanda nao wangekuwa wameanza kujenga kwenda Kigali na kama tungekuwa tumefika Uvinza, Warundi nao wangekuwa wameanza kwenda Bujumbura maana mawe ya msingi yamekwisha wekwa. Kwa hiyo Tz ndo inachelewesha Mradi maana Kenya karibu wamalize, Uganda wameanza wengine bado wanangoja Reli ifike eneo la kuanzia kwa sababu Reli hujengwa kwa kutumia Reli hiyohiyo.Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida. Ili SGR iendeshwe kwa faida, ni lazima iwe na kitu kinachoitwa linkages, yaani muunganisho kati ya nchi moja na nyingine, ili hiyo SGR ipate mzigo wa kushiba na ku operate kwa faida.
Kwa nchi za Afrika Mashariki, Kenya ikitumia mtindo wa "ujanja kuwahi", ikawa ndio nchi ya kwanza kuchangamkia fursa hivyo ikajenga SGR ya Mombasa-Nairobi-Naivasha-Malaba, ili mzigo wa Uganda na Rwanda upitie bandari ya Mombasa, na Uganda ingejenga SGR kupokea mzigo wake na wa Rwanda na kuufikisha Kigali. Hivyo the linkaje ya mzigo wa Uganda na Rwanda, ndio roho ya SGR ya Kenya, Mchina kupitia benki yake ya EXIM akakubali kugharimia kila kitu.
Kumbe "ujanja nsi kuwahi, ni kupata", JPM baada tuu ya kuchaguliwa,ziara yake ya kwanza nje ya nchi, ni kutembelea Rwanda, wakakubaliana SGR ya Tanzania itaungana na ya Rwanda. Hivyo kitendo tuu cha kukubaliana SGR ya Tanzania itajiunga na Rwanda, ile linkages ya SGR ya Uganda kwenda Rwanda, ikakatika, hivyo SGR ya Kenya kuunga Uganda haitakuwa na faida, hali hiyo ikikapelekea mfadhili kujitoa kuendeleza SGR ya Kenya sasa itaishia Naivasha, na hakuna funding tena ku fund SGR ya Uganda!.
Baada ya mchina kugoma kugharimia SGR ya Uganda, MU7, nae kaamua kumfuatilisha JPM kwa kuamua kujenga SGR ya Uganda hata kama Kenya anasuasua. Uamuzi huu wa Uganda kujenga SGR yake bila kuitegemea Kenya ni fursa nyingine kubwa kwa SGR ya Tanzania na Bandari ya Dar es Salaam kubeba mzigo wote wa Uganda.
Ili sisi Tanzania kuweza kuichangamkia fursa hii mpya, sasa hapa ndio "ujanja kuwahi", kwa kujenga SGR ya Mwanza fasta, ili mzigo wa Uganda ushuke Dar, ukimbizwe Mwanza, uvushwe ziwa Victoria hadi Uganda. Hili likifanyika, sio tuu, Bandari ya Dar itabeba cargo ya Uganda tuu, bali cargo kutoka South Sudan na North Eastern DR Congo itapitia bandari ya Dar es Salaam kupelekwa Mwanza. Changamoto pekee, in umbali wa route hii, kama italipa, na changamoto ya hatari zaidi, ni bada ya MU7 kuamua kujenga SGR, Kenya anaweza na yeye kuamua kukijenga kipande cha Naivasha-Malaba.
Background.
Taarifa za Uganda kujenga nmezisoma hapa Uganda plans to go it alone and build 2,700km-long standard gauge railway.
SGR ndio kipimo cha the economic super power of EAC, hivyo ni vita kubwa.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...www.jamiiforums.com
The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...www.jamiiforums.com
The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...www.jamiiforums.com
The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...www.jamiiforums.com
My Take
Kama tumeweza kuwapiga Tanchi kwenye SGR ya kuunganisha na Rwanda, kisha tukawapiga Tanchi kwenye bomba la mafuta la Uganga, Tanzania tukifanikiwa kuifikisha SGR yetu, Mwanza, hadi Kigoma, na pia tukajenga SGR to Tunduma, Tanzania ndio itakuwa the super power of EAC Region, na kama tukiifanya Dar Port kuwa a free port kwa baadhi ya bidhaa, with The AfCFTA in place!, Tanzania will fly!, no one will catch us!.
Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali
Lengo gani wakati uolekeo wa SGR Ni Mwanza badala ya kigoma. Au hujui Hilo ?Lengo kuu la Tanzania ni kutoa huduma ya kusafirisha mizigo inayo ingia na kutoka Congo yote ya Mashariki.
Na vile vile kutoa huduma ya soko kwa madini yao na mazao ya misitu na bidhaa zetu za viwandani.
Ndio maana jina lako Ni changuKwa hiyo ulitaka usafirishe mafuta toka Uganda au maji? Maana unakomalia bomba kuanza kujengwa hata muafaka wa kuchimba mafuta bado,tumia akili we dogo.
Hujui umuhimu wa Sgr kwa uchumi wa East Aafrika? Hujaelewa alichosema mtoa mada juu ya umuhimu wa Sgr linkages? Hujui manufaaa ya Sgr ya Tanzania ikiwa linked na Uganda na Rwanda?
Unabaki kujimwambafy na kubwanwaja maneno. Mradi umekwama!