Abiria pekee haiwezi kukupa faida kwenye SGR, na hata mizigo ikiwa michache bado ni tatizo kubwa, hasa wenzetu ambao pesa ya ujenzi yote ni mkopo. Unapo kopa unakuwa na tatizo zaidi: Unanyimwa uhuru kuweza kuendesha biashara nje ya makubaliano ya mkopo.
Sijui hata unaoongea nini hapa, naona unanivuruga tu. Acha nideal na Paskali yeye ndio ana akili japo ugumu wa maisha umemchanganya. Ww kajipongeze na kura za kwenye mabeg, hii mada iko nje ya upeo wako.
Acha kupotosha watu wewe dogo,mradi wa bomba la mafuta umechelewa sababu ya makubaliano kati ya Total na serikali ya uganda kuchukua muda mrefu. Kwani mafuta yameanza kuchimbwa huko Uganda?
Sisi tunanufaika bomba kupita hapa Tanzania ili mafuta yasafirishwe,sasa unaanza kuleta lawama hata mafuta hayajaanza kuchimbwa,unatakaka kusafirisha hewa?
Mkuu Pascal ukipata fursa hebu idadavue hii ishu ya Angola kutaka kujenga reli toka Lobito to Kapiri Mposhi ili kuunga na Tanzania Dar port naona fursa nyingine hii kwa Tanzania maana hii nchi kijiografia imekaa vizuri sana.Japo Tazara ndio inaanza tena kunyanyuka toka awamu ya 5 iingie madarakani
Mkuu tindo , kwanza hoja iliyo mezani ni SGR, bomba la mafuta ni something else, ila kwa vile mimi na Total ni dam dam, nitakuelimisha kidogo kuhusu kuchelewa kwa mradi huu, has nothing with us, mradi huu kwanza umechelewa na Uganda kwa kampuni ya Tullow kushindwa kuelewana na Total kuhusu mgawanyo wa mapato, hili limemalizika, Total imeinunua kampuni ya Tullow 100%, sasa mambo yanaendelea. Ila kitakachochelewesha mradi kuanza, ni kitu kinachoitwa "price elasticity of demand", wakati ule barrel la crude oil ilikuwa $ 60 sasa ni $ 16 per barrel, hivyo sasa wasoma trends wana soma kwa makini economic projections kama price itakuja ku stabilize in a near future, ndipo ujenzi uanze, vinginevyo kwa bei hiyo ya $ 16 per barrel, haiwezi kulipa gharama za extraction, treatment and transport, itakuwa ni hasara, hivyo the final ivestment decision bado haijasainiwa!.
P
Mkuu nafahamu kabisa kuwa mada iliyoko mezani ni SGR japo nayo naona unababaisha tu. Nilitaja mradi wa bomba la mafuta kama mfano kukuonyesha kiwango cha utapeli tu kwenye hii miradi. Lengo la mimi kutaja mfano wa bomba la mafuta, na mfano wa sarafu ya pamoja ya East Afrika, ni kukuonyesha kuwa hatuna vipaombele vya hivyo. Ila huyo Mataga akaingilia hapo kati ikabidi nimpe zaidi.
Huku kwenye SGR nilipoona tu unasema kipande cha Dar-Moro tatizo lilikuwa ni Corona, nikajua umeamua kuleta uongo usio na tija, ndio maana ndani ya hii mada yako naendelea kujadili kiwango cha utapeli wa hii miradi, na sio kubaki kwenye hoja iliyo mezani, maana hata ww mwenyewe huna utetezi wenye mashiko zaidi ya porojo za kufurahisha genge.
Kama mkataba wa mradi ulikuwa bado haujafikiwa, lile igizo la kuzindua mradi lilikuwa la nini pale Tanga mbele ya marais wawili, na hao wazungu wa Total? Serikali yetu haiwezi kuchelewesha chochote maana ilikuwa haitoia hata shilingi zaidi ya eneo la kijiografia kupitisha bomba. Japo kulikuwa na upotoshwaji wa wazi kuonyesha kuwa ni mkataba wa Tanzania na Uganda. Wakati ule tulikuwa tunasikia sifa za wazi zilizojaa propaganda kumsifu Magufuli kuwa ni sehemu ya mafanikio yake, tulisema wazi sifa zile ni za upotoshaji.
Upotoshaji gani bro? Mkataba wa kusafirisha mafuta sio wa Uganda na Tanzania? Kwani pale Chongoleani ulikuwa mkataba wa kuchimba mafuta? Wazungu wa Total kuwepo ili kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi ni vibaya mpaka unachanganya mambo?
Hujui kuwa Kenya walitaka hili bomba lipite kwao? Kwa hiyo hili bomba kupita hapa Tanzania huoni ni mafanikio? Manufaa ya hili bomba hulijui?
Japo sio kweli kuwa asilimia kubwa ya mzigo unaopita bandari ya Dar ni wa Congo DRC, mzigo mkubwa wa Dar Port ni unaovuka Tunduma!. Ila kwenye long plan ya SGR yetu itafika Kigoma.
P
Nimecheka kwa nguvu hiki unachoandika hapa Paskali, unazungumzia faida ya SGR kwani hata imekamilika hiyo SGR? Nakumbuka ile siku ya uzinduzi wa bomba la mafuta Chongoleani Tanga, nilimsikia rais akipiga faida ya kodi ya mapipa ya mafuta tutakayoanza kupata kuanzia hii 2020 mradi ukishakamilika. Akawa anaoonyesha na sehemu pesa zitaiingia baada ya 2020, watu wakawa wanarukaruka kama wendawazimu. Kwakuwa nilikuwa namjua Museveni nitapeli nilikuwa nacheka kwa nguvu. Leo hii yako wapi kuhusu mradi wa bomba la mafuta, zaidi ya juzi Museveni kuja kumpigia kampeni Magufuli kwa kisingizio cha huo mradi? Unachoongea hapa Paskali ni zile porojo za ma Motivational speakers.
Upotoshaji gani bro? Mkataba wa kusafirisha mafuta sio wa Uganda na Tanzania? Kwani pale Chongoleani ulikuwa mkataba wa kuchimba mafuta? Wazungu wa Total kuwepo ili kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi ni vibaya mpaka unachanganya mambo?
Hujui kuwa Kenya walitaka hili bomba lipite kwao? Kwa hiyo hili bomba kupita hapa Tanzania huoni ni mafanikio? Manufaa ya hili bomba hulijui?
Hebu tulia, hapa tunavuruga tu mada ya Paskali ambayo ni SGR. Sioni kama unaelewa lolote. Huo mradi ulikuwa ukamilike hii 2020 kutokana na porojo za wakati ule. Bado siku 5 mwaka huu uishe na mradi bado. Sasa jikite kwenye mada ya SGR kama una hoja, hii ya bomba ni nje ya mada, na huna ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu kwenye huo mradi.
Sijui hata unaoongea nini hapa, naona unanivuruga tu. Acha nideal na Paskali yeye ndio ana akili japo ugumu wa maisha umemchanganya. Ww kajipongeze na kura za kwenye mabeg, hii mada iko nje ya upeo wako.
Acha nicheke maana unataka kujipaisha kwa pumba za kishamba. Unakomalia kipande cha Sgr Moro to Dar kuona kama una point za kuaminisha watu kuwa Tanzania imekwama,hujui kwenye ujenzi hata kama projection ya mradi kumalizika ni miaka mitatu huwa kuna muda wa ziada,maana huwa kuna incoviniences nyingi. Hujui kuwa hata topography ya ya Moro to Dar ni vikwazo kwenye ujenzi?
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida. Ili SGR iendeshwe kwa faida, ni lazima iwe na kitu kinachoitwa linkages, yaani muunganisho kati ya nchi moja na nyingine, ili hiyo SGR ipate mzigo wa kushiba na ku operate kwa faida.
Kwa nchi za Afrika Mashariki, Kenya ikitumia mtindo wa "ujanja kuwahi", ikawa ndio nchi ya kwanza kuchangamkia fursa hivyo ikajenga SGR ya Mombasa-Nairobi-Naivasha-Malaba, ili mzigo wa Uganda na Rwanda upitie bandari ya Mombasa, na Uganda ingejenga SGR kupokea mzigo wake na wa Rwanda na kuufikisha Kigali. Hivyo the linkaje ya mzigo wa Uganda na Rwanda, ndio roho ya SGR ya Kenya, Mchina kupitia benki yake ya EXIM akakubali kugharimia kila kitu.
Kumbe "ujanja nsi kuwahi, ni kupata", JPM baada tuu ya kuchaguliwa,ziara yake ya kwanza nje ya nchi, ni kutembelea Rwanda, wakakubaliana SGR ya Tanzania itaungana na ya Rwanda. Hivyo kitendo tuu cha kukubaliana SGR ya Tanzania itajiunga na Rwanda, ile linkages ya SGR ya Uganda kwenda Rwanda, ikakatika, hivyo SGR ya Kenya kuunga Uganda haitakuwa na faida, hali hiyo ikikapelekea mfadhili kujitoa kuendeleza SGR ya Kenya sasa itaishia Naivasha, na hakuna funding tena ku fund SGR ya Uganda!.
Baada ya mchina kugoma kugharimia SGR ya Uganda, MU7, nae kaamua kumfuatilisha JPM kwa kuamua kujenga SGR ya Uganda hata kama Kenya anasuasua. Uamuzi huu wa Uganda kujenga SGR yake bila kuitegemea Kenya ni fursa nyingine kubwa kwa SGR ya Tanzania na Bandari ya Dar es Salaam kubeba mzigo wote wa Uganda.
Ili sisi Tanzania kuweza kuichangamkia fursa hii mpya, sasa hapa ndio "ujanja kuwahi", kwa kujenga SGR ya Mwanza fasta, ili mzigo wa Uganda ushuke Dar, ukimbizwe Mwanza, uvushwe ziwa Victoria hadi Uganda. Hili likifanyika, sio tuu, Bandari ya Dar itabeba cargo ya Uganda tuu, bali cargo kutoka South Sudan na North Eastern DR Congo itapitia bandari ya Dar es Salaam kupelekwa Mwanza. Changamoto pekee, in umbali wa route hii, kama italipa, na changamoto ya hatari zaidi, ni bada ya MU7 kuamua kujenga SGR, Kenya anaweza na yeye kuamua kukijenga kipande cha Naivasha-Malaba.
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...

www.jamiiforums.com
My Take
Kama tumeweza kuwapiga Tanchi kwenye SGR ya kuunganisha na Rwanda, kisha tukawapiga Tanchi kwenye bomba la mafuta la Uganga, Tanzania tukifanikiwa kuifikisha SGR yetu, Mwanza, hadi Kigoma, na pia tukajenga SGR to Tunduma, Tanzania ndio itakuwa the super power of EAC Region, na kama tukiifanya Dar Port kuwa a free port kwa baadhi ya bidhaa, with The AfCFTA in place!, Tanzania will fly!, no one will catch us!.
Watz mnapenda sana sifa kiasi kwamba kwa lip service tu mnajiona mmekwisha win na mnajisahau na kuanza kutoa siri zenu za moyoni hadharani mbele ya "adui"---- adui kamwe hutasikia akitoa siri zake hadharani, yeye yupo kimya kabisa akifanya mambo yake chini chini, enyi Watz aliyewaloga ni nani???
Tuje kwenye huo upotoshaji wako wa kipande cha Dar-Moro. Unasema tatizo ni ugonjwa wa corona, huu ni uongo wa mchana kweupe, kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Nov 2019. Ugonjwa wa corona ulianza mwishoni mwa Dec 2019, hivyo bajeti ya kipande cha Dar-Moro hakina uhusiano wowote na janga la corona.
Rais wa China ndio apige simu kwetu akibembeleza nini labda? Hiyo ya China kufund hiyo project ya SGR ni makubaliano ambayo JK alikuwa kaingia na wachina, ila alipoingia Magufuli aligoma maana alisema mradi uko overestimated, hivyo akasema tutajenga kwa fedha zetu za ndani maana sisi ni matajiri. Mradi hawakupewa tena wakandarasi wa kichina, akapewa Mturuki. Tunaojua ukweli tulisema Tanzania haina fedha za ndani 10t za kujenga huo mradi, nyie wazalendo mkaamini, leo hii kipande tu cha Dar-Moro ndio inabidi uuongope kuwa sababu ni Corona. Kwa taarifa yako hapa tulipokwama, huo mradi wa Bagamoyo utaanza tena kwa masharti mabaya kuliko ilivyokuwa enzi za JK.
Nikushauri Paskali wakati mwingine kaa kimya tu, hivi hujajifunza kuwa ccm imejaa matapeli? Unakumbuka kabla ya Magufuli kuingia madarakani ule wimbo wa uchumi wa gas, unakumbuka zile data za profesa Muhongo? Leo yako wapi? Wakati tumeanza mambo ya porojo za uchumi wa gas tulianza na Mozambique hapo, leo Msumbiji wanaendelea na ujenzi ya gas plant ya $20b mradi mkubwa kuliko wa bandari ya Bagamoyo uliokuwa uwe wa $10b. Sisi sasa hivi tumeachana na umeme wa gas uliokuwa uzalishe 5,000MW, tumerudi kwenye umeme wa maji utakaozalisha 2,115MW kwa 6.5t! Je tungeweka tu 3t kwenye umeme wa gas ambapo bomba tayari liko hapa Dar na uzalishaji umeanza tusingepata hizo 2,115MW? Saa hii unaanzisha mada za kujichoresha za SGR wakati miaka mitatu 300km tu bado. Toka nje ya box kaka, hoji mambo ya msingi, haya mapambio hayakutoi.
Lengo kuu la Tanzania ni kutoa huduma ya kusafirisha mizigo inayo ingia na kutoka Congo yote ya Mashariki.
Na vile vile kutoa huduma ya soko kwa madini yao na mazao ya misitu na bidhaa zetu za viwandani.
Hebu tulia, hapa tunavuruga tu mada ya Paskali ambayo ni SGR. Sioni kama unaelewa lolote. Huo mradi ulikuwa ukamilike hii 2020 kutokana na porojo za wakati ule. Bado siku 5 mwaka huu uishe na mradi bado. Sasa jikite kwenye mada ya SGR kama una hoja, hii ya bomba ni nje ya mada, na huna ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu kwenye huo mradi.
Kwa hiyo ulitaka usafirishe mafuta toka Uganda au maji? Maana unakomalia bomba kuanza kujengwa hata muafaka wa kuchimba mafuta bado,tumia akili we dogo.
Hujui umuhimu wa Sgr kwa uchumi wa East Aafrika? Hujaelewa alichosema mtoa mada juu ya umuhimu wa Sgr linkages? Hujui manufaaa ya Sgr ya Tanzania ikiwa linked na Uganda na Rwanda?
Unabaki kujimwambafy na kubwanwaja maneno. Mradi umekwama!
Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida. Ili SGR iendeshwe kwa faida, ni lazima iwe na kitu kinachoitwa linkages, yaani muunganisho kati ya nchi moja na nyingine, ili hiyo SGR ipate mzigo wa kushiba na ku operate kwa faida.
Kwa nchi za Afrika Mashariki, Kenya ikitumia mtindo wa "ujanja kuwahi", ikawa ndio nchi ya kwanza kuchangamkia fursa hivyo ikajenga SGR ya Mombasa-Nairobi-Naivasha-Malaba, ili mzigo wa Uganda na Rwanda upitie bandari ya Mombasa, na Uganda ingejenga SGR kupokea mzigo wake na wa Rwanda na kuufikisha Kigali. Hivyo the linkaje ya mzigo wa Uganda na Rwanda, ndio roho ya SGR ya Kenya, Mchina kupitia benki yake ya EXIM akakubali kugharimia kila kitu.
Kumbe "ujanja nsi kuwahi, ni kupata", JPM baada tuu ya kuchaguliwa,ziara yake ya kwanza nje ya nchi, ni kutembelea Rwanda, wakakubaliana SGR ya Tanzania itaungana na ya Rwanda. Hivyo kitendo tuu cha kukubaliana SGR ya Tanzania itajiunga na Rwanda, ile linkages ya SGR ya Uganda kwenda Rwanda, ikakatika, hivyo SGR ya Kenya kuunga Uganda haitakuwa na faida, hali hiyo ikikapelekea mfadhili kujitoa kuendeleza SGR ya Kenya sasa itaishia Naivasha, na hakuna funding tena ku fund SGR ya Uganda!.
Baada ya mchina kugoma kugharimia SGR ya Uganda, MU7, nae kaamua kumfuatilisha JPM kwa kuamua kujenga SGR ya Uganda hata kama Kenya anasuasua. Uamuzi huu wa Uganda kujenga SGR yake bila kuitegemea Kenya ni fursa nyingine kubwa kwa SGR ya Tanzania na Bandari ya Dar es Salaam kubeba mzigo wote wa Uganda.
Ili sisi Tanzania kuweza kuichangamkia fursa hii mpya, sasa hapa ndio "ujanja kuwahi", kwa kujenga SGR ya Mwanza fasta, ili mzigo wa Uganda ushuke Dar, ukimbizwe Mwanza, uvushwe ziwa Victoria hadi Uganda. Hili likifanyika, sio tuu, Bandari ya Dar itabeba cargo ya Uganda tuu, bali cargo kutoka South Sudan na North Eastern DR Congo itapitia bandari ya Dar es Salaam kupelekwa Mwanza. Changamoto pekee, in umbali wa route hii, kama italipa, na changamoto ya hatari zaidi, ni bada ya MU7 kuamua kujenga SGR, Kenya anaweza na yeye kuamua kukijenga kipande cha Naivasha-Malaba.
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...
www.jamiiforums.com
My Take
Kama tumeweza kuwapiga Tanchi kwenye SGR ya kuunganisha na Rwanda, kisha tukawapiga Tanchi kwenye bomba la mafuta la Uganga, Tanzania tukifanikiwa kuifikisha SGR yetu, Mwanza, hadi Kigoma, na pia tukajenga SGR to Tunduma, Tanzania ndio itakuwa the super power of EAC Region, na kama tukiifanya Dar Port kuwa a free port kwa baadhi ya bidhaa, with The AfCFTA in place!, Tanzania will fly!, no one will catch us!.
Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida. Ili SGR iendeshwe kwa faida, ni lazima iwe na kitu kinachoitwa linkages, yaani muunganisho kati ya nchi moja na nyingine, ili hiyo SGR ipate mzigo wa kushiba na ku operate kwa faida.
Kwa nchi za Afrika Mashariki, Kenya ikitumia mtindo wa "ujanja kuwahi", ikawa ndio nchi ya kwanza kuchangamkia fursa hivyo ikajenga SGR ya Mombasa-Nairobi-Naivasha-Malaba, ili mzigo wa Uganda na Rwanda upitie bandari ya Mombasa, na Uganda ingejenga SGR kupokea mzigo wake na wa Rwanda na kuufikisha Kigali. Hivyo the linkaje ya mzigo wa Uganda na Rwanda, ndio roho ya SGR ya Kenya, Mchina kupitia benki yake ya EXIM akakubali kugharimia kila kitu.
Kumbe "ujanja nsi kuwahi, ni kupata", JPM baada tuu ya kuchaguliwa,ziara yake ya kwanza nje ya nchi, ni kutembelea Rwanda, wakakubaliana SGR ya Tanzania itaungana na ya Rwanda. Hivyo kitendo tuu cha kukubaliana SGR ya Tanzania itajiunga na Rwanda, ile linkages ya SGR ya Uganda kwenda Rwanda, ikakatika, hivyo SGR ya Kenya kuunga Uganda haitakuwa na faida, hali hiyo ikikapelekea mfadhili kujitoa kuendeleza SGR ya Kenya sasa itaishia Naivasha, na hakuna funding tena ku fund SGR ya Uganda!.
Baada ya mchina kugoma kugharimia SGR ya Uganda, MU7, nae kaamua kumfuatilisha JPM kwa kuamua kujenga SGR ya Uganda hata kama Kenya anasuasua. Uamuzi huu wa Uganda kujenga SGR yake bila kuitegemea Kenya ni fursa nyingine kubwa kwa SGR ya Tanzania na Bandari ya Dar es Salaam kubeba mzigo wote wa Uganda.
Ili sisi Tanzania kuweza kuichangamkia fursa hii mpya, sasa hapa ndio "ujanja kuwahi", kwa kujenga SGR ya Mwanza fasta, ili mzigo wa Uganda ushuke Dar, ukimbizwe Mwanza, uvushwe ziwa Victoria hadi Uganda. Hili likifanyika, sio tuu, Bandari ya Dar itabeba cargo ya Uganda tuu, bali cargo kutoka South Sudan na North Eastern DR Congo itapitia bandari ya Dar es Salaam kupelekwa Mwanza. Changamoto pekee, in umbali wa route hii, kama italipa, na changamoto ya hatari zaidi, ni bada ya MU7 kuamua kujenga SGR, Kenya anaweza na yeye kuamua kukijenga kipande cha Naivasha-Malaba.
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta. Magufugame vs Musevenyata ni Vita Kubwa ya Kiuchumi!. Its a Win Lose War!. When One Wins, The Other...
www.jamiiforums.com
My Take
Kama tumeweza kuwapiga Tanchi kwenye SGR ya kuunganisha na Rwanda, kisha tukawapiga Tanchi kwenye bomba la mafuta la Uganga, Tanzania tukifanikiwa kuifikisha SGR yetu, Mwanza, hadi Kigoma, na pia tukajenga SGR to Tunduma, Tanzania ndio itakuwa the super power of EAC Region, na kama tukiifanya Dar Port kuwa a free port kwa baadhi ya bidhaa, with The AfCFTA in place!, Tanzania will fly!, no one will catch us!.
Wishful thinking ya Pascal Mayalla inachekesha lakini ndo tabia ya njaa ikizidi hata nguli anakuwa mjinga(sorry Pascal). SGR ni Mradi wa EAC wa kuunganisha nchi 6 wanachama kwa Reli yenye uwezo zaidi kuliko iliyopo ambayo ni nyembamba na reli ndogo kwa hiyo treni zake haziwezi kwenda kasi na kubeba mzigo mzito. Kila nchi mwanachama ilipewa sehemu yake ya kujenga ndo maana nchi zingine zanajenga kwenye nchi za wengine kama Rwanda inajenga toka Isaka na Burundi toka Uvinza. Tanzania inajenga toka Dar mpaka Uvinza mpaka Mwanza na Kenya inajenga toka Mombasa mpaka mpakani na Uganda halafu mpaka Kisumu na Uganda itajenga toka mpakani na Kenya mpaka Port Bell, ziwa Viktoria ikiwa na maana kuwa bandari ya Mwanza, Kisumu na Port Bell zitakuwa zimeunganishwa kuwa Railway Ferry. SGR ikikamilika nchi wanachama zote zitakuwa zimeungana na Bandari za Dar, Mombasa, Mwanza, Kisumu na Port Bell na nchi wanachama zitakuwa na Mashirika yao ya Reli kama TRC, KRC nk. Kama SGR ingefika Isaka, Rwanda nao wangekuwa wameanza kujenga kwenda Kigali na kama tungekuwa tumefika Uvinza, Warundi nao wangekuwa wameanza kwenda Bujumbura maana mawe ya msingi yamekwisha wekwa. Kwa hiyo Tz ndo inachelewesha Mradi maana Kenya karibu wamalize, Uganda wameanza wengine bado wanangoja Reli ifike eneo la kuanzia kwa sababu Reli hujengwa kwa kutumia Reli hiyohiyo.
Lengo kuu la Tanzania ni kutoa huduma ya kusafirisha mizigo inayo ingia na kutoka Congo yote ya Mashariki.
Na vile vile kutoa huduma ya soko kwa madini yao na mazao ya misitu na bidhaa zetu za viwandani.
Lengo gani wakati uolekeo wa SGR Ni Mwanza badala ya kigoma. Au hujui Hilo ?
Kama kungekuwa na Hilo lengo ingebidi reli ya SGR ikaelekezwa kigoma ili mizigo yote ya Wakongo kupitia bandari ya Dar iwe inashushiwa kigoma na kutumia ziwa tanganyika kusafirisha mizigo hadi miji Kama KALEMIE.
Ila matokeo Yake reli inaelekezwa mwanza hahahah hii nchi kituko sana
Kwa hiyo ulitaka usafirishe mafuta toka Uganda au maji? Maana unakomalia bomba kuanza kujengwa hata muafaka wa kuchimba mafuta bado,tumia akili we dogo.
Hujui umuhimu wa Sgr kwa uchumi wa East Aafrika? Hujaelewa alichosema mtoa mada juu ya umuhimu wa Sgr linkages? Hujui manufaaa ya Sgr ya Tanzania ikiwa linked na Uganda na Rwanda?
Unabaki kujimwambafy na kubwanwaja maneno. Mradi umekwama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.