shukrani zote kwa serikali ya awamu ya 5VANESSA MDEE ANAJITAHIDI SANA, ANAWEZA TULETEA HADI WAWEKEZAJI WA VIWANDA.
🙈 🙈 🙈Taifa inabidi lijivunie,Right?
Noma chalianguNilichoona hapo ni kuwa Vee Money ndio mwanamuziki wa kwanza Tanzania kuandikwa na The Shade Room (TSR). Kesho na kesho kutwa ataandikwa TMZ.