Unless wawe wamebadilisha hivi sasa lakini miaka ya mwanzoni ya show, 50 alikuwa Executive Producer! In Hollywood, kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu awe na EP Credit... wakati mwingine, jina tu linaweza kutumika as EP!
Na wakati mwingine, EP anaweza kuwa na stake kwenye show husika au ndo akawa bridge kati ya Producer na Financier, and other industrial insiders!
Lakini pamoja na kuwa Executive Producer, vile vile amekuwa akifanya kazi kama producer na director.
But all in all, kuna kila dalili kwamba atakuwa na share kwenye Power, na kama hana, basi atakuwa anavuta pesa ndefu sana!