The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

Na this week Ghost kam-frame jamaa anachomoka tena kiaina.

Shemeji ana ngekewa!
dont know what the next episode holds... kila mtu yuko na mashida zake, kuaunzia ghost na political career yake, tommy kapoteza business, Dre nae atakwama maana supplier ndo kashapotezwa na ghost.. tate for governor nayo inabuma.... its a tense moment..
 
Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star!

View attachment 1241562

Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa Mdee, who also goes by Vee Money. She’s also an activist and television personality who is currently one of the pioneer judges for “East Africa’s Got Talent.”

The pair is currently on a baecation in Miami and have been quite flirty on the Gram.

View attachment 1241570
Chezea Wananigeria hasije mtapeli vipesa vyake. Mimi Nawaogopa Wanigeria
 
Unless wawe wamebadilisha hivi sasa lakini miaka ya mwanzoni ya show, 50 alikuwa Executive Producer! In Hollywood, kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu awe na EP Credit... wakati mwingine, jina tu linaweza kutumika as EP!

Na wakati mwingine, EP anaweza kuwa na stake kwenye show husika au ndo akawa bridge kati ya Producer na Financier, and other industrial insiders!

Lakini pamoja na kuwa Executive Producer, vile vile amekuwa akifanya kazi kama producer na director.

But all in all, kuna kila dalili kwamba atakuwa na share kwenye Power, na kama hana, basi atakuwa anavuta pesa ndefu sana!
Well said! Yote uliyoandika hapa yanawezekana.

Kwa role ambayo 50 anaiplay kuipush hii series, ni ngumu sana kusema hana stake pale. Au hata kama hana basi ana nguvu kubwa sana ya kimaamuzi.
 
dont know what the next episode holds... kila mtu yuko na mashida zake, kuaunzia ghost na political career yake, tommy kapoteza business, Dre nae atakwama maana supplier ndo kashapotezwa na ghost.. tate for governor nayo inabuma.... its a tense moment..
Yeah man!

Jamaa wanafanya twisting za hatari huwezi hata kutabiri nini kinakuja. One thing kinanishangaza though, wanachanganya sana writers.

S06E09 ya juzi writer wake alikuwa tofauti na hata kuna vitu kama mtu unatazama kwa umakini unaona kabisa vilibadilika.

Mfano, Benny siku zote alitengenezwa kama mtu tishio na mwenye nguvu sana kiasi cha kuzima cartel nzima ya jamaa waliomshikiliaga Tariq kwa mkwara tu, lakini kaja kufa kizembe kwa kumconfront Tommy na kisu kidogo vile. Same to Jason.

Pia Ghost hanaga mambo ya usnitch kabisa lakini kwenye episode ya juzi writer akamtengeneza jamaa amsnitch Tasha kuhusu drug business pale kwa Daycare. Ghost kweli???

Ramona alivyomtosa Tate naona nayo ilipelekeshwa tu na huyo writer. Yule dada alitengenezwa kama mtu very smart and strategic. Ile plan yake na Ghost against Tate haikuandikwa vizuri kabisa. It felt off!

Kwa ufupi hii episode walichemka sana & I wish wasimpe tena nafasi ya kuandika. Anakata mzuka!

NB: Hii season finale itakuwa na episodes 15 badala ya 10 zilizozoeleka. Ngoja tuone!
 
Hata mimi epsode iliyopita niliona ilikuwa na major twist ambazo hazikuwa sawa kabisa.
Jamaa alivyokuwa anaogopwa halafu akaja kufa kizembe kwa kuawa kizembe bora hata procta alifight
Yeah man!

Jamaa wanafanya twisting za hatari huwezi hata kutabiri nini kinakuja. One thing kinanishangaza though, wanachanganya sana writers.

S06E09 ya juzi writer wake alikuwa tofauti na hata kuna vitu kama mtu unatazama kwa umakini unaona kabisa vilibadilika.

Mfano, Benny siku zote alitengenezwa kama mtu tishio na mwenye nguvu sana kiasi cha kuzima cartel nzima ya jamaa waliomshikiliaga Tariq kwa mkwara tu, lakini kaja kufa kizembe kwa kumconfront Tommy na kisu kidogo vile. Same to Jason.

Pia Ghost hanaga mambo ya usnitch kabisa lakini kwenye episode ya juzi writer akamtengeneza jamaa amsnitch Tasha kuhusu drug business pale kwa Daycare. Ghost kweli???

Ramona alivyomtosa Tate naona nayo ilipelekeshwa tu na huyo writer. Yule dada alitengenezwa kama mtu very smart and strategic. Ile plan yake na Ghost against Tate haikuandikwa vizuri kabisa. It felt off!

Kwa ufupi hii episode walichemka sana & I wish wasimpe tena nafasi ya kuandika. Anakata mzuka!

NB: Hii season finale itakuwa na episodes 15 badala ya 10 zilizozoeleka. Ngoja tuone!
 
Kabisa mkuu! Haikukaa poa sana japo wengi waliona sawa tu.
 
Jason hakufa kizembe sana, and i always knew he would die at Ghost's hands.

Ghost kumsnitch Tasha ndo sikutegemea, maana anajua repercussions of his baby mama being behind bars, after all they've gone and all the info she knows about G.

Dre was about to make it in life, until Ghost cancelled Christmass on Jason..

Tommy has become wild and unrully, perhaps after everbody is dead, he'll go for the producers and directors too [emoji38][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]

Yeah but Jason should have thought better walking with Ghost unarmed. He got played kizembe sana. How could he not sense it the moment James St Patrick told him that they can't be strapped? That alone was a wake up call!

Tasha is tripping, yes, but Ghost was not the right person to use to snitch on her. Too low!

Dre (Shemeji Rotimi) staying alive to date makes Ghost & Tommy look powerless. His survival tricks do not just cut it. Proctor was more useful than this piece of sh**t

The finish line about Tommy's rage [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom