Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Nadhani ni kwa sababu yeye ndio ameibeba kuanzia kwenye production mpaka marketing.Sijui kwanini watu uwa mnadhani ile series ni ya 50cent wakati siyo kweli 50cent alikuwa actor na director msaidizi kwasababu kapitia maisha ya kitaa lakini series siyo ya kwake
Kemp amecreate tu idea na anashiriki kwenye kuirun lakini aliyeibeba na kuifikisha ilipo sasa ni Curtis mzee.
Sijajua shares zimekaaje lakini 50 ana SAY kubwa sana pale na hata washiriki wengi wanamrefer kama Boss.
Watch interviews!