Nadhani ni kwa sababu yeye ndio ameibeba kuanzia kwenye production mpaka marketing.Sijui kwanini watu uwa mnadhani ile series ni ya 50cent wakati siyo kweli 50cent alikuwa actor na director msaidizi kwasababu kapitia maisha ya kitaa lakini series siyo ya kwake
Tujivunie mali zetu kuchukuliwa na Nigerians ?Taifa inabidi lijivunie, right?
How old is v money ?Rotimi hajaangalia umri , anakula mema ya nchi
Ana miaka mingapi ?Ila huyu Vanessa anawachelewesha watoto wake kuanza shule
31Ana miaka mingapi ?
31How old is v money ?
Still young af
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hvyo ndo inavyotakiwa, unatoka na mtu mpaka ex ajione fala [emoji15]
Boss 31,Mwanamke hana ndoa hiyo haiko sawa,Though si sheria kikatibaStill young af
Dump[emoji706]
masikini mnakimbiliaga vitu vya kuwatia umasikiniHuyu demu angepata watoto wa2 sasa,atakuja kustuka umri kwa kheri,watoto watamwita bibi
Ana kipi huyo....acha ufalaHvyo ndo inavyotakiwa, unatoka na mtu mpaka ex ajione fala 😳
Nimeona YouTube Millad amepost hiyo kitu. Kumbe ni kweli wa Nigeria wamempokonya Jux tonge lake.Boss 31,Mwanamke hana ndoa hiyo haiko sawa,Though si sheria kikatiba
Nimeona YouTube Millad amepost hiyo kitu. Kumbe ni kweli wa Nigeria wamempokonya Jux tonge lake.Boss 31,Mwanamke hana ndoa hiyo haiko sawa,Though si sheria kikatiba