The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

Nakazia huyu Jamaa ni mpuuuuziii sana
 
hayaja kukuta mzee
 
Hongera kwa kuwa Mungu amekujalia hekima ya kuamua vema, Pamoja na yote aliyokutendea huyo mwanamke, hujampiga wala kumdhalilisha, Ubarikiwe sana.
 
Umesema kisa chako ni miaka 9 mpaka 10 iliyopita alafu tena huo mwaka baada ya manzi yako kupata mimba ukanunua gari ukaanza kupiga na mishe za uber na uber imekuwa established bongo 2016??

CHAI
2016 mpaka leo ni miaka saba tayari, chai iko wapi?
 
Very very true [emoji109]
 
Huuu uniceboy unawaharibu sana aisee,,,yaan mm apo nilivyokauzu na roho mbaya anageondoka na nguo tu asieee
 
Kabisa, ni changamoto kubwa sana hii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

kaka bonge moja la story...kwa sisi warusi tunasema больше спасибо...
 
kmmae kapigwa na kitu kizoto, haya mambo ya kuoa mwenye kijiajira ati "msaidiane maisha" mara akusaidie kununua kigari ndio ukubali pia kuna wanaume watakusaidia kuchokonoa, ati anasafiri kikazi nye nye nye. Qmmae haya lete simulizi usituchoshe
Hahaha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…