The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

Shida ilianzia hapa
 
Umesema kisa chako ni miaka 9 mpaka 10 iliyopita alafu tena huo mwaka baada ya manzi yako kupata mimba ukanunua gari ukaanza kupiga na mishe za uber na uber imekuwa established bongo 2016??

CHAI
 
Umesema kisa chako ni miaka 9 mpaka 10 iliyopita alafu tena huo mwaka baada ya manzi yako kupata mimba ukanunua gari ukaanza kupiga na mishe za uber na uber imekuwa established bongo 2016??

CHAI
Labda ndiyo sababu stori imekatizwa kwasabb kujifunga kwa maneno ya kisa chake hiki cha kutunga!?
 
Umesema kisa chako ni miaka 9 mpaka 10 iliyopita alafu tena huo mwaka baada ya manzi yako kupata mimba ukanunua gari ukaanza kupiga na mishe za uber na uber imekuwa established bongo 2016??

CHAI

"nitajitahidi kukimaliza chote kwa kuhide baadhi ya information ili wahusike wasijulikane."

Kuna mahali kaandika hayo maneno...

Huenda hiyo timeline ni sehemu ya hadaa ili kuficha asijulikane...
 
Angesema tu itaendelea kesho watu tulale
 
Kwani ulivysafiri kwenda kikazi mikoani mlionana mara ngap mkasex??
 
kmmae kapigwa na kitu kizoto, haya mambo ya kuoa mwenye kijiajira ati "msaidiane maisha" mara akusaidie kununua kigari ndio ukubali pia kuna wanaume watakusaidia kuchokonoa, ati anasafiri kikazi nye nye nye. Qmmae haya lete simulizi usituchoshe
 
Mambo gani haya ya kutiana genye?
Jitahidi umalize story yako isije kiwa kama akina Mpyayungu village na story yake ya Lindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…