The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)

(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.

Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Kaboom na atoto(Rogie anaiwangia)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)

NB: hii ni chitchat
Iyo namba 5 na jje ndo sijamjua mkuu hahaha huyu binamu yangu ningependa kumjua couple yake maana ana ngebe na wadada balaa
 
Iyo namba 5 na jje ndo sijamjua mkuu hahaha huyu binamu yangu ningependa kumjua couple yake maana ana ngebe na wadada balaa
[quote uid=244382 name="jje's" post=17490913]malovee hayajifichi ujue, na ndo vizuri ili kama una mwingine nijijue tuko wangapi[/QUOTE]<br />Hahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....

huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[quote uid=244382 name="jje's" post=17490913]malovee hayajifichi ujue, na ndo vizuri ili kama una mwingine nijijue tuko wangapi
<br />Hahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....

huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
<br />Hahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....

huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122][/QUOTE]
Binamu yako alishaopoa kitambo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Binamu yako alishaopoa kitambo [emoji125] [emoji125] [emoji125][/QUOTE]
Amefanya jambo jema ila mwambieni mwanaume yule aache kuwasakama wadada jamani Kha? Mpaka tunapotea njia kwa misakamo
 
Namuwinda sana huyu Patience123, bado nipo kwenye maandalizi ya namna ya kumrushia kombora zito.Sijawahi kukutana na rejection, mambo yakininyookea nitatengeza bond yenye nguvu na couple imara kuliko UKUTA wa CDM....See me in the list very soon!
Ule ukuta uliovunjika kabla haujajengwa...

Teh teh... Labda kama unataka "kushika pembe ili Eli79 akamue bila bughudha...

By the way, karibu kwenye competition... Mwenye kisu kikali....
 
Ule ukuta uliovunjika kabla haujajengwa...

Teh teh... Labda kama unataka "kushika pembe ili Eli79 akamue bila bughudha...

By the way, karibu kwenye competition... Mwenye kisu kikali....
🙁🙁🙁🙁 Huhuhu kwahiyo umeshajihisi kuwa wewe ni product adimu? wakati unasubiri nije fahamu tunaishi duniani na siyo Eden
 
Back
Top Bottom