The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

hapana am calling My Stunter sweetie pie, usikute kuna mutu in hii id humu looooh
Ndio maanake, nenda kwenye ule uzi wa mwanamme umpenaye, wametajana na sweetiepie
 
Ndio maanake, nenda kwenye ule uzi wa mwanamme umpenaye, wametajana na sweetiepie
haaaaa usinifanye nizimie naenda sasa hivi. nisije kuta mimi tu ndo najitunza kumbe mwenzangu mmmmmh🙁
 
kaka na dada karibu sanaaaaaaaa ila hakuna cha ck zitaongea. loooh umenikumbusha mbaaaali duuuuuh
Hebu nisimulie ilikuwaje..umekumbuka ni etii dadangu mie[emoji11]
 
Kumbe hata hamfahamiani nyie
Totoz za arachuga
Nimewaalika via via jioni
Lakini msije na kundi la mashoga zenu ni nyie wawili tu
Vinginevyo mjiandae kulipa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatutak via via
 
Back
Top Bottom