The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

Ngoja niiongezee kick hii
Yang naona daby kaiweka
Kapuni


Cc mahondaw
 
Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)

(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.

Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. Daby na husna muba
2. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Bailly5 na Madame S (imeletwa na tetemeko la makonda)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)

NB: hii ni chitchat
 
Back
Top Bottom