The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

Wale msiotaka Usumbufu wa kupata Transit Visa ya ubalozi wa marekani ya kupitia new york nk miji ya marekani msipate shida.Nendeni
afrika ya kusini ukifika pale ziko ndege kibao zinaenda bahamas moja kwa moja non stop kutoka oliva Tambo airport pale johansburg.hadi bahamas ni kama mwendo wa masaa 14 angani

ukishafika bahamas mengine yaliyobakia ya kwako
 
Hiyo transit visa inasumbua sana kupatikana nchi kama USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri sana hongera kwako mleta uzi kwa kufikiria nje ya box na kuleta idea nagwa kama hizi kwa wapenda safari naamini wataanza kulifanyia research hili wazo. Naamini waTz wpo dunia nzima so kama kuna mbongo anaeish Bahamas au aliwah kuish tunaomba aje atupe expirience yake ya huko ili kabla ma travellers hawaja fanya maamuzi wawe na information za kutosha kuhusu kisiwa cha The Bahams na hata na vingine ambavyo vipo Caribbean. Information is power
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana mkuu.
 
Hivi kwa nini wamarekani wanakuwa wagumu sana kwenye miji yao,wao wanazani kila mtu ni mzamiaji tu,yaani kwenye kutoa visa ni wagumu kudadeeki
https://jamii.app/JFUserGuide you Americans
 
Mimi namfahamu mtu mmoja yupo huko miaka mingi lakini ukimuandikia ujumbe anaweza kukaa hata mwezi ndio ajibu huku unaona alishasoma.sasa dharau ndogo ndogo kama hizi zinakera sana ila ndo hivyo inabidi upambane tu na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kiukweli mimi nina dreams za kuzamia, nitasikiliza mtu, kuna mambo naweka fresh, mda ukifika siangalii nyuma.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiukweli mimi nina dreams za kuzamia, nitasikiliza mtu, kuna mambo naweka fresh, mda ukifika siangalii nyuma.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda tu na usiogope chochote na Mungu akutangulie unapozamia.

Mipaka ya nchi tuliyonayo iliwekwa na binadamu sio Mungu kwa hiyo ukizamia hujafanya dhambi yoyote
 
Kiukwel vitu hivyo vipo sana kwa sisi wa Africa especially wa Tz ya mtz akitusua anaona kashamliza kila kitu hatak hata kuwashaur wenzake kwa ushauri very sad. Ukisha kua mweusi kwenye hii dunia hasa ukiwa Africa hiyo ni changamoto kubwa sana [emoji18][emoji18][emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you want to survive well in the Bahamas u have to be a professional Gigolo.

Sex tourism is so mean there .

Just find an old rich women with doughies and here umetusua[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Have you already been there au bado upo uko utupe ushauri kwa mtu ambae anaenda huko akiwa hana anae mfahamu ila ana pocket money ya USD 20000 anawez ku survive vip mpaka atakapo pata hata kibarua cha kubeba box naomba ushare na sis expirience kama unajua lolote kuhus Bahamas. Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…