The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

Una usd 20,000.00 unatafuta fursa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu akili kama fingerprints kila mtu anazake wewe kama umeiona fursa hapa nyumbani ikazie mpaka ufanikiwe, na usizani nafas uliok ww na mwingine anayo jifunze kuheshimu mawazo na matakwa ya mtu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzuri sana huu kwa vijana wenye ndoto ya kuishi na kutafuta maisha nje ya nchi.

Maisha ni popote pale ukiamua inawezekana
Yeah sure mkuu, karibu tujumuike kupata ABC's
 
Huko kumbe naweza kwenda likizo bila shida. Sikujua hili aisee.

Bro wangu hua ananiambia ukila mtoto wa Caribbean hata ukifa you die with dignity. Hakika nitaenda huko maybe next year.
😂😂, mpango pesa tu mkuu.
 
kumbe kwa visa free countries barua ya mwaliko haiitajiki??
Inategemea unaingia kufanya nini, kwenda kutalii pia unahitaji barua ya mualiko ya nini???
 
Haihitajiki lakini ukienda ofisi zetu kuomba passport usishangae kuombwa barua ya mwaliko!!!!! wakati kule unakoenda hawana haja nayo
True say, hustle za "kitabu" zinajitegemea ingawa nowdays sababu ni nyingi za kuombea passport.
 
Nitakuja kueleza kwa undani swala hilo, nitakutag mkuu.
 
My pleasure, thanks for the compliment.
 
Well said, thanks for the informations chief.
 
Very potential and useful information, barikiwa sana mkuu.
 
Hivi kwa nini wamarekani wanakuwa wagumu sana kwenye miji yao,wao wanazani kila mtu ni mzamiaji tu,yaani kwenye kutoa visa ni wagumu kudadeeki
**** you Americans
Mabeberu hawataki wimbi la wakimbizi kwao, nakumbuka juzi juzi tu hapa trump aliwapiga beat bahamians kuingia US baada ya adha ya mafuriko na vimbunga vikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…