warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na hiyo show wangeangalia wenyewe.
By the way , what happened to Penny? She is no more on the show ama? Ki ukwel apart from Anitha, Penny she was a spicy bwana, yan alikua na vibe kama lote, huboek, that chick has got swagg, full of energy , but now simuon tena au Sijui ndo mkataba umeisha au wamegombana?
The second season is more boring than the previous , kwanza ma host hawajachangamka, Wasanii wanaowahoji they don’t have enough communication skills yani hawajui kujielezea hata kwa kiswahili, yan show imepoa kama mb** ya juma lokole, yan walivyoiweka kwa kiswahili ndo naona imeboa kabisaa, hao wakina jackline wolper na Irene uwoya yan wanavutia tu kuwaona kwenye Instagram ila sio kwenye Tv, maana hawajui kuongea japokua ofcourse ni wazuri wanavutia ila kichwani zero .
Yan bongo nasemaga star ni Vanessa mdee tu , wengine wote they should learn from her, how she behaves and brand herself , ni karembo kuanzia nje mpaka kwenye ubongo