The trendy show is not trending anymore..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na hiyo show wangeangalia wenyewe.

By the way , what happened to Penny? She is no more on the show ama? Ki ukwel apart from Anitha, Penny she was a spicy bwana, yan alikua na vibe kama lote, huboek, that chick has got swagg, full of energy , but now simuon tena au Sijui ndo mkataba umeisha au wamegombana?

The second season is more boring than the previous , kwanza ma host hawajachangamka, Wasanii wanaowahoji they don’t have enough communication skills yani hawajui kujielezea hata kwa kiswahili, yan show imepoa kama mb** ya juma lokole, yan walivyoiweka kwa kiswahili ndo naona imeboa kabisaa, hao wakina jackline wolper na Irene uwoya yan wanavutia tu kuwaona kwenye Instagram ila sio kwenye Tv, maana hawajui kuongea japokua ofcourse ni wazuri wanavutia ila kichwani zero .

Yan bongo nasemaga star ni Vanessa mdee tu , wengine wote they should learn from her, how she behaves and brand herself , ni karembo kuanzia nje mpaka kwenye ubongo
 
The show is trending on Clouds + but fool of stupidity
 
Kwa kweli hao mastar uwaone tu wakiweka caption za #achaunafikiuendembinguni#
Wakihojiwa unaweza utamani ulie.
Ndo mana bongo live interviews huwa hazinapati ile mvuto!
Giggy anaonekana chizi but ana akili yule binti!
Basi tu!
Ukifanya nae kipindi unajikuta kuna vitu unajifunza!
Hawa wengine wanaoshika shika nywele hawa!
psyuuuuuu!!!!
 
basi sawa mwenye com skills zake
 
Atleast lulu kidogo anajitahid siku hiz
 
Kwa kweli hao mastar uwaone tu wakiweka caption za #achaunafikiuendembinguni#
Wakihojiwa unaweza utamani ulie.
Ndo mana bongo live interviews huwa hazinapati ile mvuto!
Giggy anaonekana chizi but ana akili yule binti!
Basi tu!
Ukifanya nae kipindi unajikuta kuna vitu unajifunza!
Hawa wengine wanaoshika shika nywele hawa!
psyuuuuuu!!!!

Akina jide atleast wanaongeag facts
 
Hiyo show mbona me sijawahi kuiona inaonyeshwa wapi saa ngapi Na lini
 
Sahihi kabisaa,mtu km wolpa sitamano hata nsikie akihojiwa bure kabisaa!!
Kwa kweli hao mastar uwaone tu wakiweka caption za #achaunafikiuendembinguni#
Wakihojiwa unaweza utamani ulie.
Ndo mana bongo live interviews huwa hazinapati ile mvuto!
Giggy anaonekana chizi but ana akili yule binti!
Basi tu!
Ukifanya nae kipindi unajikuta kuna vitu unajifunza!
Hawa wengine wanaoshika shika nywele hawa!
psyuuuuuu!!!!
 
Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na hiyo show wangeangalia wenyewe.

By the way , what happened to Penny? She is no more on the show ama? Ki ukwel apart from Anitha, Penny she was a spicy bwana, yan alikua na vibe kama lote, huboek, that chick has got swagg, full of energy , but now simuon tena au Sijui ndo mkataba umeisha au wamegombana?

The second season is more boring than the previous , kwanza ma host hawajachangamka, Wasanii wanaowahoji they don’t have enough communication skills yani hawajui kujielezea hata kwa kiswahili, yan show imepoa kama mb** ya juma lokole, yan walivyoiweka kwa kiswahili ndo naona imeboa kabisaa, hao wakina jackline wolper na Irene uwoya yan wanavutia tu kuwaona kwenye Instagram ila sio kwenye Tv, maana hawajui kuongea japokua ofcourse ni wazuri wanavutia ila kichwani zero .

Yan bongo nasemaga star ni Vanessa mdee tu , wengine wote they should learn from her, how she behaves and brand herself , ni karembo kuanzia nje mpaka kwenye ubongo
Naona kingereza kimekua kingi kwel siku hizi kwenye sred zako
 
umerogwa wewe
 
Wema Sepetunga, sura nzuri tabia mbofumbofu atahojiwa lini kwani......
NASISITIZA TUSISITE KUIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU HII KWA KUFANIKISHA HIYO SHOW. HAKIKA MWESHIMIWA RAIS ANSTAHILI PONGEZI.
 
Back
Top Bottom