Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
YOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
Umeona eenh, ndiyo maana watu wengi husema ogopa sana watu wakimya.Sisi watu wakimya matatizo yetu na udhaifu wetu tunajijua mkuu,mimi nilikua nawashangaa wale waliokua wakimtetea Sana sijui mara hapendi Kiki,anajiheshimu,mstaarabu,hana majivuno [emoji23][emoji23][emoji23],ni hivyo tu watu wakimya huwa tunafanya Mambo kwa Siri lakini kiuhalisia tuna list ndefu sana za mademu wabaya na wazuri
Sana yanihuyu mkaka inaelekea ana dharau sana...
Asa Kiba ndani ya miaka 5 Mara moja...yule bwana ndani ya wiki Mara 100 bado Kiba is Kiba tu mzeeTulizoea haya mambo kutoka kwa Diamond kurushiana vijembe na mahasimu wake na kumuona mswahili...kumbe ndo vile tena waswahili ni wengiView attachment 1420106
Unamzungumzia Kiba au BEST NASO?Sema kiba na yeye gonga gonga sana ndio maana hatoboi wengine wana gundu
,Dunia hii utaficha nn mzee ipo wazi DIAMOND yupi unyemzungumzia?..kamuimba hata kwenye FRESH RMX na ALL WAY UP mpende kwa kipimo wajombaSimba managers wake wana akili sana.
Hajawahi kumjibu Alikiba kwa chochote ana hustle kivyake akitaka Kiki anazipata automatically kwa wanawake zake that's how big and grown up musicians do.
.
Refer beef la Drake na Chris Breezy Breezy alikuwa ana bwata sana kisa anafahamu anauwezo mkubwa kimuziki kumzidi Drake, anaweza mkono kumzidi Drake lakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard hot 100 anaitawala yeye tu Brown anaendelea kula weed
Na kimsingi HAKUNA ASIYEFANYA but UNAYAFANYAJE?..ndo suala la msingiNinyi mmeanza kumuona mswahili leo, mie tangu alivyopost yale maswala ya penseli sijui nini nilishaona kumbe naye wale wale tu.
Isitoshe Kiba na Diamond wote wahuni sana tu, sema ni vile Kiba kaamua kuyafanya yake sirini ndiyo maana anaonekana mstaarabu.
Mswahili ni mswahili tu"- yna2Asa Kiba ndani ya miaka 5 Mara moja...yule bwana ndani ya wiki Mara 100 bado Kiba is Kiba tu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
sio mswahili tu mi ni kibaka haswaa,ukija kichwa kichwa nakupiga dole la mfuko wa nyuma.
Huyo demu wa breezy anaecheza porn ndio Nani?Simba managers wake wana akili sana.
Hajawahi kumjibu Alikiba kwa chochote ana hustle kivyake akitaka Kiki anazipata automatically kwa wanawake zake that's how big and grown up musicians do.
.
Refer beef la Drake na Chris Breezy Breezy alikuwa ana bwata sana kisa anafahamu anauwezo mkubwa kimuziki kumzidi Drake, anaweza mkono kumzidi Drake lakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard hot 100 anaitawala yeye tu Brown anaendelea kula weed
This is what i saidHuyo demu wa breezy anaecheza porn ndio Nani?
Demu wake Drake anaitwa Sophia Brussaux ni former porn starlakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard
Wapo wasiofanya, na malaya ni malaya tu haijalishi unafanya hadharani ama sirini.Na kimsingi HAKUNA ASIYEFANYA but UNAYAFANYAJE?..ndo suala la msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitu muwe makini mnapoviokota huko,kwa akili ya kawaida tu hiyo imetengenezwa ili kumsafisha Ali Kiba na kumchafua huyo demu na kibaya zaidi mnapatikana watu kama nyinyi kwenye huo mtego. Kiufupi hiyo sio kweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]King ana hasira za kuachwa na Diva.
Wewe unaweza kuanzisha mahusiano na porn star?This is what i said
Demu wake Drake anaitwa Sophia Brussaux ni former porn star
Hi ni yakutengeneza unapokuwa unachati kwenye group na mtu unayemjua uwezi kutaja jina