The True color of Ali Kiba

The True color of Ali Kiba

Sisi watu wakimya matatizo yetu na udhaifu wetu tunajijua mkuu,mimi nilikua nawashangaa wale waliokua wakimtetea Sana sijui mara hapendi Kiki,anajiheshimu,mstaarabu,hana majivuno [emoji23][emoji23][emoji23],ni hivyo tu watu wakimya huwa tunafanya Mambo kwa Siri lakini kiuhalisia tuna list ndefu sana za mademu wabaya na wazuri
Umeona eenh, ndiyo maana watu wengi husema ogopa sana watu wakimya.

Tena afadhali hata ya Diamond anayafanya hadharani, mtu kama Kiba muogope sana.
 
Simba managers wake wana akili sana.
Hajawahi kumjibu Alikiba kwa chochote ana hustle kivyake akitaka Kiki anazipata automatically kwa wanawake zake that's how big and grown up musicians do.
.
Refer beef la Drake na Chris Breezy Breezy alikuwa ana bwata sana kisa anafahamu anauwezo mkubwa kimuziki kumzidi Drake, anaweza mkono kumzidi Drake lakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard hot 100 anaitawala yeye tu Brown anaendelea kula weed
,Dunia hii utaficha nn mzee ipo wazi DIAMOND yupi unyemzungumzia?..kamuimba hata kwenye FRESH RMX na ALL WAY UP mpende kwa kipimo wajomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi mmeanza kumuona mswahili leo, mie tangu alivyopost yale maswala ya penseli sijui nini nilishaona kumbe naye wale wale tu.

Isitoshe Kiba na Diamond wote wahuni sana tu, sema ni vile Kiba kaamua kuyafanya yake sirini ndiyo maana anaonekana mstaarabu.
Na kimsingi HAKUNA ASIYEFANYA but UNAYAFANYAJE?..ndo suala la msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba managers wake wana akili sana.
Hajawahi kumjibu Alikiba kwa chochote ana hustle kivyake akitaka Kiki anazipata automatically kwa wanawake zake that's how big and grown up musicians do.
.
Refer beef la Drake na Chris Breezy Breezy alikuwa ana bwata sana kisa anafahamu anauwezo mkubwa kimuziki kumzidi Drake, anaweza mkono kumzidi Drake lakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard hot 100 anaitawala yeye tu Brown anaendelea kula weed
Huyo demu wa breezy anaecheza porn ndio Nani?
 
Malinz anaweka wapi sura yake
Mtoto wake hana adabu kabsa

god is good
 
Mambo
FB_IMG_1587025315856.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom