The truth behind wrangle between Wanjigi and Kenyatta

lool....The Jimi Wanjingi Challenge....Mrs Wanjingi ana macho ya (as Kenyans would say it) ufisilet...Namuona hata Moses Kuria Na Waiguru....
 
Mkuu naomba unifafanulie hizo picha mbona wote wamepiga style moja
Picha ya kwanza kabisa ni ya Wanjigi na mkewe, wakiwa nyumbani kwao baada ya polisi kuondolewa na amri ya mahakama iliyopelekwa na James Orengo, nadhani mapozz yao ndo yamefanya watu waige as it somehow looks funny. Wengine wamepatia kidogo na wengine wameongezea manjonjo. Kwa Tanzania ilitokea ile “Wasira style”, ambapo kifungo kimoja cha suti cha chini kilikosewa hivyo suti ikawa kama imeiunuka upande mmoja.
 
Sasa embu leta ufafanuzi, ni Kenya kuna unemployment kubwa mpaka watu wote waige ige wanjigi au ni coincidence.
Haki nyang'au mna mambo

Angalau mkuu acha wajifariji maana wanapoelekea soon pale taveta patajaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya itabidi tupunguze bangi, nawasihi sana ndugu zanguni.
 
Hehehehehe wewe Lewis254 chizi kuruka, haya na mimi natupiamo
Wetangula bana..



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…