Kunta kinte1776
JF-Expert Member
- Feb 22, 2019
- 297
- 378
Joto la jiwe ,kaka hapa kwetu nakubaliana nawe ufujaji wa mali ya umma umekithiri mipaka,na kwa kweli mambo yanazidi kubadilika,katika historia ya kenya kwa mara kwanza vita dhidi ya rushwa imepewa kipao mbele,ule gavana wa migori alikalisha kitako rumande kwa mwezi mzima,hilo lilikuwa jambo nadra sana nyakati zilizopita,we had been subjected to this mediocrity for a long time that we were starting to think its normal,its was becoming a culture developing overtime,as such it will take persistent effort to erode it.the political will is there and that was what was lacking