The truth of the matter is we have lost tourists to Tanzania,people are losing jobs in Kenya

The truth of the matter is we have lost tourists to Tanzania,people are losing jobs in Kenya

In order to improve you must first be true to yourself and accept the facts on ground,watch this space
 
Wewe hadi kufikia uwezo wakuwapita sisi tumelala? Au wafikiri tourist are coming to TZ kwa bahati mbaya tu.??Kuna kazi kubwa zinafanyika mkuu na hapo bado kwa target ya Magufuli.

Wewe jaribu kufikiria, Mlima Kilimanjaro mnao nyinyi, sisi tunatumia kivutio adimu kama hiki kuandika jina kwenye KQ yetu, kutangaza ya kuwa watalii watutembelee wauone Mlima KLM wakiwa Amboseli, ilhali nyinyi mmepiga mbonji tu maofisini mkitegemea mapanga boi yenu yatawatangazia vivutio vyenu??????????? Kweli inaingia akilini????????? Already KQ yetu na changamoto zote, bado ni soko tosha la uwavutia watalii. Bado pia kipindi cha nyuma tulipata changamoto ya magaidi, waliturudisha nyuma lakini tumerudi tena. Pamoja na hayo yote, haturembi, hatutalia lia, hatutaangalia nyuma, tuta fight hadi kieleweke. Sawa kiongozi?????????
 
Haya ni maneno ya kukata tamaa na kushindwa, tatizo ninyi wakenya akili zenu sio nzuri hata kidogo, mkishindwa ni bora mkakubali na kurudi katika drawing table na kujiuliza kwanini mnashindwa, badala ya kutoa visingizio na sababu za kuhalalishwa kushindwa kwenu.

Ninyi wakenya wala hamna uwezo wowote ule wa kupambana na sisi, maeneo ambayo Kenya imeizidi Tanzania ni yale ambayo yameshikiliwa na wazungu, kama maua, viwanda, na chai. Ila yale yaliyopo chini ya GoK au wakenya wazawa, karibu yote tumewazidi.

Mbona Uganda inawazidi katika utalii wakati hawana vivutio vyovyote vile vya utalii ukilinganisha na Kenya, nini ni watu wa sifa za kijinga lakini hamuwezi lolote lile.

Haa haaaaa!!!!!! Eti wazungu. Uchumi wote wa Kenya kushikiliwa na wazungu??????

Ma Al Shabaab walikuja, wakafanya yao. Kweli uchumi, haswaa sekta ya utalii iliyumba tena kwa sana, lakini tumerudi kwa kishindo. Pamoja na yote, resilience ya wakenya sio kulialia kila siku eti ohhhhh hatuwezi, aaahhh tusaidieni. Kenyans will dust themselves and try again. Ndio maana Kenya in collaboration with KQ inafungua routes za ndege kwenda Mauritius na USA linking America with East Africa to tap on the open opportunities.

Wewe unafikiri tungefika wapi tungerudi kwenye drawing board unayosema ya mapanga boi na Bombadiar, tungeweza kupenya bara Ulaya tu??????? Fahamu, hao tourists watakaokuja kutoka US, watawafaidi nyinyi pia pamoja na kutuponda sisi wakenya. Ova.
 
Huyu si ndiye aliyekuwa akimsema vibaya rais wetu wa awamu ya nne Mh. Kikwete. Yaani mimi nilishangaa sana, yaani eti waziri tu anamrudi kiongozi wa nchi.... mimi huyu jamaa nina bifu naye mpaka atakapo omba msamaha.
Mzalendo yupo kazini!
Hongera Sana mkuu, hivi ndiyo yatakiwa.
 
Haya kila Mtanzania aende dukani akanunue mandazi mbili mbili musherehekee ushindi wenu. Nitalipa bill mwenyewe
Siyo mandazi mbili mbili [emoji735] sema mawili mawili [emoji736]
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ki ukweli Kenya inaipita Tanzania kwa uzembe wa watz wenyewe tutakapo gundua makosa na kurekebisha Kenya hawatuwezi tunawazidi resources
 
Hongereni wa Tz........... Ila kwa hili kuna mambo mawili ningependa kuchangia.

1. Ingekuwa vema pamoja na kutambua watalii wengi wanakimbilia Tz, mngepata fursa
hiyo ku-capitalize on that. Sio tu kushabikia na kukunja nne na kipiga toat. Ingekuwa
ni sisi Kenyans, tungechangamkia hiyo fursa. We are resilient even in our moment
of weakness.

2. Tz ina vivutio viiiiiingi sana sana saaaaaaana. Sasa hivi, mngefaa kushindana na
South Africa, ila kwa sababu nyinyi ni Bongolala, mnaangalia kaskazini badala ya kusini.
Kenya ina vivutio, ila vichache ikilinganishwa na ninyi. Lakini pamoja na uchache wetu,
jaribu tu kuwaza iwapo tungekuwa sawa, tungekuwa na uzi huu??????????

My peni mbili..................
Ni jana tu we get the billions of money from world bank to enlarge and refurbish our tourism industry from whole of the country, tegemea makubwa in few months ahead, the northern Highlands only may surpass the whole Kenya tourism industry leave alone other regions
 
Wewe jaribu kufikiria, Mlima Kilimanjaro mnao nyinyi, sisi tunatumia kivutio adimu kama hiki kuandika jina kwenye KQ yetu, kutangaza ya kuwa watalii watutembelee wauone Mlima KLM wakiwa Amboseli, ilhali nyinyi mmepiga mbonji tu maofisini mkitegemea mapanga boi yenu yatawatangazia vivutio vyenu??????????? Kweli inaingia akilini????????? Already KQ yetu na changamoto zote, bado ni soko tosha la uwavutia watalii. Bado pia kipindi cha nyuma tulipata changamoto ya magaidi, waliturudisha nyuma lakini tumerudi tena. Pamoja na hayo yote, haturembi, hatutalia lia, hatutaangalia nyuma, tuta fight hadi kieleweke. Sawa kiongozi?????????
Stop dreams now you will never beat Tanzania on tourism industry nefaaa we are well equipped now
 
Stop dreams now you will never beat Tanzania on tourism industry nefaaa we are well equipped now

As I had said in an earlier post, your competitors should now be Namibia, Botswana and mainly South Africa coz they have so many natural attractions, reserves and national parks as compared to Kenya. But still the same, we Kenyans with our limited natural resources & attractions , considering a considerable amount of our land being arid, we are able to tap the tourism market and face the big giants in that sector.

Instead of you Bongolalas looking on ways to overtake the South Africans, you are still stuck to that d*@k-measuring contest with us.............. as one hip hop artist said, YOU'RE AIMING FOR THE STARS BUT YOU'RE LOOKING AT THE SUN,
 
Haa haaaaa!!!!!! Eti wazungu. Uchumi wote wa Kenya kushikiliwa na wazungu??????

Ma Al Shabaab walikuja, wakafanya yao. Kweli uchumi, haswaa sekta ya utalii iliyumba tena kwa sana, lakini tumerudi kwa kishindo. Pamoja na yote, resilience ya wakenya sio kulialia kila siku eti ohhhhh hatuwezi, aaahhh tusaidieni. Kenyans will dust themselves and try again. Ndio maana Kenya in collaboration with KQ inafungua routes za ndege kwenda Mauritius na USA linking America with East Africa to tap on the open opportunities.

Wewe unafikiri tungefika wapi tungerudi kwenye drawing board unayosema ya mapanga boi na Bombadiar, tungeweza kupenya bara Ulaya tu??????? Fahamu, hao tourists watakaokuja kutoka US, watawafaidi nyinyi pia pamoja na kutuponda sisi wakenya. Ova.
Tatizo lenu ni kutokubali ukweli kwamba hamna uwezo wankupambana na Tanzania katika utalii, Balala ambaye ni muhusika mkuu ktk kupanga mbinu za utalii wala haoni kama hizo safari za USA zitaongeza sana watalii, yeye sababu anazotoa ni uchakavu wa hotels na miundombinu ya utalii, ila ninyi wengine kama kawaida yenu mnatoa sababu za kushindwa kwenu, mlianza kusema Tanzania tuna vivutio vingi zaidi ya Kenya ndiyo sababu tunawashinda, tulipowauliza kwanini Uganda wenye vivutio vichache kuliko Kenya lakini bado wanawazidi, mnatoa sababu ya Alshaabab na safari za USA, nani ambaye hajawahi kupigana vita?, hopeless Kenyans.
 
its sad but true....kwanza Kenya ina matatizo mengi ya kitawala....we have stupid power hungry politicians....we also have stupid citizens, those who go to steal, throw stones and set tyres on fire during protests....every election year someone must die...i think that is very stupid...alafu nikimalizia, Kenya tumepakana na Somalia na South Sudan, failed states with terrorists..nchi useless kabisa dunini pamoja na Afghanistan Iraq na Syria....Frankly, if I was a tourist, I would avoid Kenya and go to tz also...it has a stable political environment and peace...I still love my country though
 
My God nilikuwa sijui kama TZ ina hotel nzuri kuliko za Kenya.
Huyo jamaa alikuwa Zanzibar juzi tu. katika tamsha la Sauti ya Busara na amejionea mwenyewe.. na ndiyo maana kurudi Kenye tu ametoa kauli hiyo.
 
If only you new what was about to hit you and set you back to the stone age

wp_ss_20180213_0006.png
wp_ss_20180213_0003.png
wp_ss_20180213_0004.png
wp_ss_20180213_0005.png
 
its sad but true....kwanza Kenya ina matatizo mengi ya kitawala....we have stupid power hungry politicians....we also have stupid citizens, those who go to steal, throw stones and set tyres on fire during protests....every election year someone must die...i think that is very stupid...alafu nikimalizia, Kenya tumepakana na Somalia na South Sudan, failed states with terrorists..nchi useless kabisa dunini pamoja na Afghanistan Iraq na Syria....Frankly, if I was a tourist, I would avoid Kenya and go to tz also...it has a stable political environment and peace...I still love my country though
wenzako watakuona msaliti kwa kusema ukweli.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom