The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #41
Nimeitunza hii comment.PSG ni timu ambayo haitakaa ichukue uefa kwa siku za hapa machoni labda wape miaka 6+ Shauku ya mtu huponza kukosa kitu wana timu ya kusumbua kina Caen..Nantes sio ya kutwaa UEFA..Hata Waingie na Monchegladbach hawawezi kutwaa Ndoo..
Jana ilisemwa hiv hiv Man U hampigi Psg, lakin kakungutwa