The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #21
😄😄Hapana wale achana nao mkuu
Badoo wanawazaa ubwabwaa wa mzee wetu rungwe
Ila usishangae wakapita na kombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Hapana wale achana nao mkuu
Badoo wanawazaa ubwabwaa wa mzee wetu rungwe
Labdaaa waliibee ila europaa nawapa😄😄
Ila usishangae wakapita na kombe
Tunza akiba ya maneno ninjaLeo PSG ataua mtu nyingi sana!
Tunza akiba ya maneno ninja
Anakaa yule mtoto mdogoHuyo Di Maria Ndio PSG Ninja.
Tukutane Baada Ya Game!
Dynamo kyiv 0-1 JuveUpdates:
Group F
Zenit St. Petersbug Vs Club Brugge (0-0HT)
Group G
Dynamo kyiv Vs Juventus (0-0HT)
Hili wazo linawezekana lakini haliwezekaniNingetamani kuona ligi hii iende kwa mzunguko mwisho wa siku mwenye pointi nyingi anabeba ndoo..
Kila siku Ni fainal
Kuanzia 3Supersport ngapi wanashow hizi mambo
Ananyongonyeshwa kuleLeo wan-bissaka lazima atapike nyongo!
Game imeisha ninja, mtu amekaaHuyo Di Maria Ndio PSG Ninja.
Tukutane Baada Ya Game!
Game imeisha ninja, mtu amekaa
Asante sana ninja, psg Tawi letu lileHongera Ninja PSG Wameendeleza Utoto Wa Misimu Yote!
PSG ni timu ambayo haitakaa ichukue uefa kwa siku za hapa machoni labda wape miaka 6+ Shauku ya mtu huponza kukosa kitu wana timu ya kusumbua kina Caen..Nantes sio ya kutwaa UEFA..Hata Waingie na Monchegladbach hawawezi kutwaa Ndoo..Ngumu kutabiri ...ila kama PSG wanaweza kubeba hii kitu
Japo ningelitaman chelsea ifikie hatua nzuri