The UEFA Champions League 2020/21 Special Thread

The UEFA Champions League 2020/21 Special Thread

Updates:
Group F
Zenit St. Petersbug Vs Club Brugge (0-0HT)
Group G
Dynamo kyiv Vs Juventus (0-0HT)
 
Kwa hatua yoyote katika haya mashindano kama Liverpool & madrid atakuwepo yatakuwa magumu iwapo hizo timu zikiondolewa basi ugumu na hamsha hamsha ya mashindano yataendelea kuwa tyt!.
 
Kama kawa ,Kama dawa

FC BAYERN MUNICH ( THE BAVARIA,Mia san Mia)[emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Ngumu kutabiri ...ila kama PSG wanaweza kubeba hii kitu

Japo ningelitaman chelsea ifikie hatua nzuri
PSG ni timu ambayo haitakaa ichukue uefa kwa siku za hapa machoni labda wape miaka 6+ Shauku ya mtu huponza kukosa kitu wana timu ya kusumbua kina Caen..Nantes sio ya kutwaa UEFA..Hata Waingie na Monchegladbach hawawezi kutwaa Ndoo..
 
Back
Top Bottom