The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

Ni hatari kuwekeza hisia zako za mapenzi huku Africa maana watu wengi ni waongo Sana, ukicheza kidogo unaumizwa tu heri kuishi kimachale na kupeana space kabisa, na before commitments ni Bora kuambiana lengo lenu la mahusiano in case of anything mtu ha fall mazima na I don't allow mtu kuingia ndani sana
Yeah Africa Ni nyoko .... Mimi mwenyewe nimetoka kupigwa tukio hapa nilipo Sina hata hamu (kidding) ... But Mimi mwenyewe naamini kwamba nikiwa single huwa ndio nakuwa salama and ilove that
 
Yea
Aisee, so simply ni kuwa mapenzi yanakuwa si kitu kikubwa , chenye maana ama kipaumbele kwenye maisha yako, right?

Let's meet at the top, cheers 🍻
Yeah Mimi mwenyewe mapenzi sio kipaumbele changu cha kwanza ktk maisha kabisaaaa ..na huwa naamini if you want to be a looser basi kuwa penda penda .endekeza mapenzi utafurahia show . hahaha
 
Yeah Africa Ni nyoko .... Mimi mwenyewe nimetoka kupigwa tukio hapa nilipo Sina hata hamu (kidding) ... But Mimi mwenyewe naamini kwamba nikiwa single huwa ndio nakuwa salama and ilove that
Uko Kama mimi Bora kuwa single ndio nakuwa amani, maana Mimi huwa si fake in order kuwa safe Bora kutokuji commit
 
Uko Kama mimi Bora kuwa single ndio nakuwa amani, maana Mimi huwa si fake in order kuwa safe Bora kutokuji commit
Yeah true .. huwa naamini definition ya love Ni time . caring.faith .trust . happiness and peace ..so if upo in relationship then unakosa hivyo vitu Kuna sababu zipi za kuendelea kuwa ktk mahusuano hayo ' binafsi Mimi napenda Sana amani nikivurugiwa kidogo tu amani niliyonayo ambayo ndio kichochezi Cha furaha aisee lazima nitoweke katika hayo mazingira
 
Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia.
 
Kila mtu ni mlinzi wa hisia zake.
 
kuna wale manaake mie moyo wangu ushaumizwa sana ni ngumu kumuamini mwanamme nikampa moyo wangu, alafu baade anakutumia msg anakwita mpenzi, nashindwa kujua nimueka kundi gani pumbav kabisa.
 
kuna wale manaake mie moyo wangu ushaumizwa sana ni ngumu kumuamini mwanamme nikampa moyo wangu, alafu baade anakutumia msg anakwita mpenzi, nashindwa kujua nimueka kundi gani pumbav kabisa.
Simply usimuamini huyo.
 
Back
Top Bottom