The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Ukibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1553008368836.jpeg
FB_IMG_1552664570174.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.

Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup

Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.
 
Mkuu njoo nazo hizo stasts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....

Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.

Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....

Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.

[emoji16] Cha ajabu mtoa anaonekana yuko biased from the beginning Hahaaa [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....

Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.

Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....

Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba unajua maana ya Champions league? Ili ni league linalo kutanisha team bora katika league kuu wala hakuna haja ya kuhama hama leagues ili uwe mkali, maana mtu ukiweza kuzicakaza team zinazo chukuwa nafasi za kwanza katika league flani, ivi unaweza ukashindwa kuceza league hio? Be serious mzee baba aca ku compare kama mtoto

Naheshimu mawazo yako.. na wewe heshimu ya kwangu basi. Hakuna haja ya kuweka maneno ambayo hayahusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete statistics za ligi ambayo team kubwa hazina uwiano mbaya na timu ndogo?
Mana hata EPL anaeongoza ligi ana point 74 wakt wa mwisho ana point 14 kati ya hizo timu ndogo inayoongoza inapoint haijafikisha hata point 50 wakt timu kubwa inapoint 74.
Leteni statistics kuonesha hilo unalosema sio kuweka maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom