EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ukibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu njoo nazo hizo stastsKama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.
Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup
Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.
[emoji16] Cha ajabu mtoa anaonekana yuko biased from the beginning Hahaaa [emoji23][emoji23]Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako,sisi tunamtambua king Cr7 the one and only.Kinģ Messi[emoji119] [emoji119]
Hakuna mchezaji Kama Ronaldo na atakuja kutokaea.OVERUkibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]View attachment 1049208View attachment 1049210
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti "sisi" wewe na nani?Kwako,sisi tunamtambua king Cr7 the one and only.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Kuna clips zinaonyesha team mate wenzake wakifunga linaumia kinoma [emoji34][emoji34][emoji34][emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba unajua maana ya Champions league? Ili ni league linalo kutanisha team bora katika league kuu wala hakuna haja ya kuhama hama leagues ili uwe mkali, maana mtu ukiweza kuzicakaza team zinazo chukuwa nafasi za kwanza katika league flani, ivi unaweza ukashindwa kuceza league hio? Be serious mzee baba aca ku compare kama mtotoNinachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naheshimu mawazo yako.. na wewe heshimu ya kwangu basi. Hakuna haja ya kuweka maneno ambayo hayahusiki.Mzee baba unajua maana ya Champions league? Ili ni league linalo kutanisha team bora katika league kuu wala hakuna haja ya kuhama hama leagues ili uwe mkali, maana mtu ukiweza kuzicakaza team zinazo chukuwa nafasi za kwanza katika league flani, ivi unaweza ukashindwa kuceza league hio? Be serious mzee baba aca ku compare kama mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako,sisi tunamtambua king Cr7 the one and only.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~