EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #341
Hizo "ligi ngumu"Hii hoja nimeshaijibu ila kichwa chako kigumu kuelewa na ndio maana unazunguka circle.
La liga ni rahisi kufunga kuliko ligi nyengine, mfano ligi ya uingereza huwezi kuta mtu anafunga goli 50 same kwa Serie A, ila la liga si Ronaldo na Messi tu ni kawaida kwa Etoo, forlan, na wengine wengi kufunga Goli za kutosha.
So fanya hivi
Weka stats za Ronaldo la liga na za Messi la liga tu usiweke za epl wala Serie A, halafu weka hio Goal per game ratio.
Nimekwambia weka stats za la liga toka Ronaldo aje we unaweka za ucl kitu ambacho tumekizungumzia muda si mrefu, unaogopa nini kuweka za la liga?Hizo "ligi ngumu"
mwisho wao huko makwao EUFA ndio kipimo cha ubora wa mabingwa
Ona hii
View attachment 1859550
Unataka za Messi au za wote wawili ??Nimekwambia weka stats za la liga toka Ronaldo aje we unaweka za ucl kitu ambacho tumekizungumzia muda si mrefu, unaogopa nini kuweka za la liga?
Nimekwambia weka stats za la liga toka Ronaldo aje we unaweka za ucl kitu ambacho tumekizungumzia muda si mrefu, unaogopa nini kuweka za la liga?
Nikusaidie tu record za Ronaldo la liga na akiwa Madrid.Unataka za Messi au za wote wawili ??
Nikusaidie tu record za Ronaldo la liga na akiwa Madrid.
LA liga
-Messi mechi 540 goli 474
-Ronaldo mechi 292 Goli 311
Hivyo unaona Ronaldo wa la Liga ana Ratio kubwa kuliko Messi.
Ronaldo ni kama 1.06 goal kila mechi
Messi ni kama 0.87 kila mechi.
Ronaldo wa Madrid UCL
Mechi 101 goli 105 ina maana hapa ni kama 1.03 kwa mechi. Record zaidi ya Messi.
Hivyo Ronaldo Record yake inaonekana Ndogo overall goal kwa match sababu Kacheza ligi na timu mbalimbali.
Sporting Lisbon, Juve na Man U kote watu hawafungi kama Madrid na Barcelona.
Ni za la liga hizi?
Zote zipo hapo angalia vemaNi za la liga hizi?
Hapo wameweka tu record ya Madrid hawajachanganua, ila hata hio Angalia, record ya Ronaldo Madrid ni superior kwa messi akiwa Barcelona. Na pia timu ya Taifa Ronaldo yupo vizuri kuliko Messi.Zote zipo hapo angalia vema
Hawawezi kufunga huko sababu wachezaji wengi uwezo mdogo.Sporting Lisbon, Juve na Man U kote watu hawafungi kama Madrid na Barcelona.
Madrid na Barca ni club kubwa sawa zina uwezo, ila LA liga pia inachangia.Hawawezi kufunga huko sababu wachezaji wengi uwezo mdogo.
Ile liverpool iliyofungwa 7 na villa ni timu ya hispania?Madrid na Barca ni club kubwa sawa zina uwezo, ila LA liga pia inachangia.
Mfano Epl Salah ndio anaongoza Goli 32 kwa msimu, akifuatiwa na Suarez na Ronaldo goli 31 kwa msimu.
Ukimtoa Ronaldo na Messi hawa la liga Wana Goli 32 ama Zaidi
-Ronaldo de lima goli 34
-Forlan goli 32
-Baltazar Goli 35
-Hugo sanchez Mara kibao 38, 34 etc
Hivyo nature ya LA liga ni kufunga Magoli mengi, timu zao zinaacha nafasi sana ndio maana siku wakikamatwa wanapigwa goli nyingi, mfano Barca kafungwa Hadi 8, ngumu kwa Timu ya Epl ama serie A inayocheza compact kufungwa hizo Goli.
MI nimeongelea UCL na mechi Moja ama mbili haibadilishi nilichoongea. Man City wame chukua Ligi na point 100 na magoli 106 ni record ya Uingereza ila ukienda LA liga ni kitu cha kawaida sana hicho. Mfano Madrid ya Mou ilibeba Kombe na Magoli 121 umewahi ona wapi Ligi nyengine?Ile liverpool iliyofungwa 7 na villa ni timu ya hispania?
2011 man u alimchakaza arsenal 8 vipi hapo arsenal hawakuachia sana magoli?
Mbn hoja zako unabase upande kua ni rahis kufunga tu la lagi kwa sbb unachosema eti england ni vigum..kwann husemi kua ligi ya spain inateam bora..ebu nambie kwnn saiv Pep amekuja England ligi imekua kama ya upande m1 tu anadominate kwann usiseme ni ubora ulikua una lack ndo maana nakwambia La liga imekua ligi bora kwa miaka ming sna ndo maana imekua ina dominate uefa na europa kwa kua ligi ya england ilikua ya porojo na team zake uefa zilikua zinabamizwa..Barcelona na Madrid walikua bora sana..usije na hoja mfu hapa kutetea unazi wako wa cr7 kua La liga rahis england ngumu..kwa ugum upi wakt Messi ndo anaongoza kuzifunga izo team za england big 6 kuliko hata huyo cr7..sema ligi ya spain ni bora na ilikua bora kuliko england acha porojo za kusema ligi ni rahis wkt uefa team zenu za england zilikua zinapokea kipigoMI nimeongelea UCL na mechi Moja ama mbili haibadilishi nilichoongea. Man City wame chukua Ligi na point 100 na magoli 106 ni record ya Uingereza ila ukienda LA liga ni kitu cha kawaida sana hicho. Mfano Madrid ya Mou ilibeba Kombe na Magoli 121 umewahi ona wapi Ligi nyengine?
Huu msimamo wa la Liga 15/16 wote Madrid na Barca Wana Goli zaidi ya 100
Hii ni Madrid ya Mou
Hio MSN ya 2016/17
Hivyo mkuu ni jambo la ajabu Madrid ama Barcelona wasipofikisha goli 100 wakati Epl na ligi nyengine ni kitu kigumu mno.
Pia ukiangalia chini wanaoshuka daraja unakuta timu ina shuka daraja ina goli 20 haifikishi hata 30, mfano she field Alikuwa na goli 20, ila LA liga timu ina shuka daraka ina Goli 42.
Kuwa na Timu mbili bora na kuwa ligi bora ni vitu viwili tofauti.Mbn hoja zako unabase upande kua ni rahis kufunga tu la lagi kwa sbb unachosema eti england ni vigum..kwann husemi kua ligi ya spain inateam bora..ebu nambie kwnn saiv Pep amekuja England ligi imekua kama ya upande m1 tu anadominate kwann usiseme ni ubora ulikua una lack ndo maana nakwambia La liga imekua ligi bora kwa miaka ming sna ndo maana imekua ina dominate uefa na europa kwa kua ligi ya england ilikua ya porojo na team zake uefa zilikua zinabamizwa..Barcelona na Madrid walikua bora sana..usije na hoja mfu hapa kutetea unazi wako wa cr7 kua La liga rahis england ngumu..kwa ugum upi wakt Messi ndo anaongoza kuzifunga izo team za england big 6 kuliko hata huyo cr7..sema ligi ya spain ni bora na ilikua bora kuliko england acha porojo za kusema ligi ni rahis wkt uefa team zenu za england zilikua zinapokea kipigo
Again hujaelewa point comment ya juu nimekujibu suala la Timu vs ligi.M1 hapo kacheza England mwengne kacheza spain lkn wa spain ndo anaongoz kuzifunga izo big 6 zenu mnazosema ni ngumu na wapo ligi ngumu
Hlf nimeona juu unazngumzia pia eti serie A nayo ngumu kufunga kuliko la liga kwhy iyo ndo inaifanya bora...iyo serie A hata ndo sitak kuongelea kbs kwa sbb ni ligi ya ovyo ovyo tena sana kwa sbb Juventus amekua akidomonate tu ligi na Uefa ni wapumbav hawana cha maana kwhy ni ligi ya ovyo kbs wala sitak hata kuzungumzia.
Numbers uwa hazidanganyi ntabishana mnavoweza na december Messi anachukua ballon d'or ya number ya mchezaj wenu mgongon no.7..kwhy atakua anarepresent idadi ya ballon d'or za Messi kila akiingia uwanjan.
Mlisema kombe la kimataifa amechukua naona sasa mmekosa hoja mnatapatapa tu..nunber zinaongea kbs vzr hata macho yanawaonesha kbs nan bora kuliko mwenzie mnazipinga nafs zenu zinazosema ukwl wengne mnabishana tu kufny huu mnajadala kua relevant wkt sio hata wa maana kwa sbb kuna Mmoja ni bora kuliko mwenzake na huyo ni#Messi ambae December atakua na ballon d'or 7..bishana mnavoweza lkn huo ndo ukwl.View attachment 1860850
Ndo nakuuliza sasa mbn Kwenye Europe team izo izo za spain zilikua zina dominate sio UCL wala UEL..au huo ubora wa ligiz ya England ni wa ligi yao tu wakijichanganya na wengne wanakua wa kawaida..maana spain imedominate Europe kwa mda had alivokuja liver na chelsea juzi..sasa ilikuaje wakt ligi ilikua bora sana ubora sio ww kua na washabik tu wengi au kupiga kelele kama team yao ya taifa walivo wapiga kelele na hawachukui ki2.Kuwa na Timu mbili bora na kuwa ligi bora ni vitu viwili tofauti.
Miaka 20 iliopita timu hizi Toka uingereza zimefika fainali.
-Manchester United
-Manchester City
-Chelsea
-Liverpool
-Arsenal
-Totenham
Ile Top 6 ya uingereza yote imefika Fainali ya Uefa na in process watatu kati ya Hao wame chukua, Mara 5.
Spain Wana Timu mbili bora Madrid na Barcelona, pengine hizi Timu ni bora kuliko za Uingereza hili Sikatai ila LA Liga si ligi bora maana ukitoa hao kuna Atletico na kwa mbali Sevila wanajitutumua.
Timu ndogo za Spain zina hali mbaya kupindukia, hazina hela hata usajili hawana sababu mgawanyo wa mapato ni mdogo Hela zote zinabeba timu Kubwa, ndio maana Madrid ama Barcelona wakiwa vizuri hujipigia tu goli 5 ama 6.
Angalia Timu ndogo za Epl timu kama Wolves, Aston Villa ama Southampton zote zilikua 10 la Mwisho msimu uliopita, Angalia Quality ya Vikosi vyao, hizi timu zina uwezo wa Kumfunga timu yoyote kubwa ama ku sajili mchezaji toka timu kubwa ya ligi nyengine.
Mimi nimezungumzia magoal kua m1 hapo anamagoal yote ayo na hajacheza England point ni iyo tu rahis mbnAgain hujaelewa point comment ya juu nimekujibu suala la Timu vs ligi.
Tuje Serie A, Umeona Euro? Serie A ime dominate kila sector kuanzia Man of the match wengi, Goli nyingi etc ukitoa hio zilipendwa ulio andika Serie A misimu miwili iliopita ilikuwa ni Ligi yenye Msisimko sana. Na timu zimetofautiana Kidogo kidogo quality.
Kuhusu Ronaldo vs Messi na hizo top 6 nayo pia ukiangalia Ki subjective kuna mengi ya kuongelea.
1. Ukitoa misimu yake ya mwisho Ronaldo hakuwa na Role ya kufunga Man united na wala hakufunga magoli mengi, unless ulikua ni mtoto Ronaldo Alikuwa ni mtu wa kudrible pembeni na kutoa cross mpaka misimu ya mwisho hasa kuanzia 2007 ndio akabadilika tulivyoanza kucheza 4-3-3
2. Messi amezionea sana Man U na Arsenal hilo sikatai sababu ni timu zinazofunguka na Messi anap3nda kucheza na timu za design hii.
-ila vs Chelsea ile tunayoijua ya kupaki Basi Messi alicheza mechi 7 hajawafunga goli hata 1, na sio tu hafungi Bali anatembea tembea tu uwanjani hata hajulikani anafanya nini, Messi anakuja kuwaunga Chelsea hizo 3 juzi hapa vs Kina William na David Luiz Chelsea mbovu. Kikawaida kipindi hicho tunajua Barca akikutana tu na Chelsea ni safari a Atoka, anakuja Kushinda Barca ile 2008 tena kwa kubebwa mpaka Barca wakaanza kuitwa Uefalona.
-ukija Vs Liverpool same Story Barca akikutana nao anaaga safari. Mara 2 Messi ameshindwa kuwapitisha Barcelona vs Liverpool.
Kati ya zote hizo Ni man U pekee ndio Messi amewafunga Hatua muhimu yaani fainali.
Ila Ronaldo kawafunga Man U, Chelsea, Liverpool na Arsenal hatua muhimu sana.
Mfano Arsenal na Chelsea ni kuipa Man U ubingwa wa UCL 2008 magoli ya nusu na Fainali yenyewe.
point ipo pale pale mfano UEFA ni madrid na Barcelona tu ndio wana dominate sio? ligi haiundwi na timu mbili nimekuonesha timu kibao za uingereza zote zimefanya vizuri, Equivalent ya Totenham la liga labda ni kama real sociedad, muangalie anaweza compete Uefa? hivyo kwenye Epl una timu nyingi zenye Ubora, there is a reason mkuu Dunia nzima Epl inaangaliwa sana kuliko la liga. ukianza kuangalia Barca vs Eibar kama umetoka kazini umechoka kuna possibility kubwa ukalala hapo hapo, Ila unaangalia Arsenal vs Aston villa hata kama Arsenal anaongoza Mechi unajua muda wowote inaweza badilika.Ndo nakuuliza sasa mbn Kwenye Europe team izo izo za spain zilikua zina dominate sio UCL wala UEL..au huo ubora wa ligiz ya England ni wa ligi yao tu wakijichanganya na wengne wanakua wa kawaida..maana spain imedominate Europe kwa mda had alivokuja liver na chelsea juzi..sasa ilikuaje wakt ligi ilikua bora sana ubora sio ww kua na washabik tu wengi au kupiga kelele kama team yao ya taifa walivo wapiga kelele na hawachukui ki2.