The Undisputed Messi

Mkuu nani anashabikia ligi ya US labda kikapu tu na American football na sio SOCCER
Ndio uone sasa huo ni ushahidi marketing haifanyi kazi kwenye soka? Sababu hio ligi ina mpunga wa kutosha.

Even miaka kadhaa iliopita Ligi ya China walikuwa wanalipa Kuliko Ulaya tuliona Oscar na Tevez walivyo kuwa wakilipwa, Tumeona makocha mpaka kina Benitez wakikimbilia huko na haikua maarufu.

Huu ni Ushahidi Epl inapendwa kwa ubora wake na sio marketing.

Angalia hata jukwaa letu la michezo ni thread gani zipo active Zaidi.
 
Hili la wingi.wa.mechi wanariruka kama hawalioni wanajitia UPOFU[emoji41]
 
Wanajifanya numbers hawazioni we waache tu wabishane wanavoweza uzur mwenye akil timamu ya mpr anaona hawa wengne wanaleta hoja za vijiweni kwenye kahawa tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi kwanini hadi Leo Maradona Anaabudiwa Huko Argentina badala ya Messi? Maradona ana Baloon Dor 6? Maradona ana magoli mengi?

Kama na wewe huoni achievement hio ya knockout pia utakuwa na tatizo.
Historia inbeba na si Argentina pekee na duniani kwa ujumla aliyoyafanya ndio Mesi anafanya saivi
 
Yani mimi nilieleta data kabisa Kura nzima zilivyopigwa sijaleta namba? Ila wewe unaeandika comment karibia ya 20 bila ya proof wala source yoyote Bali maneno tu ya mdomoni na tweet zilizobase kwenye emoticon ndio una concrete number?
Achana na kura unahisi kwann anashinda??????mbona facts zipo mbele ya macho yako ila unachagua kufunga macho kama MBUNI??
 
US and CHINA Wtashindana kwa hela sio ubora wa SOCCER

OBI, OSCAR TEVEZ, BACKERM, T. HENRY wanaenda huko KUMALIZIA MAISHA YAO YA SOCCER
 
US and CHINA Wtashindana kwa hela sio ubora wa SOCCER

OBI, OSCAR TEVEZ, BACKERM, T. HENRY wanaenda huko KUMALIZIA MAISHA YAO YA SOCCER
Ndio mjibu mwenzako huko Juu, Hela na marketing haisababishi watu wa angalie mpira, Timu zote anazoziona Epl zimeanza kupata hela miaka ya Karibuni, kuna wakati hata kuitafuta TOP 10 ya wachezaji ghali hupati wa Epl.
 
Ndio mjibu mwenzako huko Juu, Hela na marketing haisababishi watu wa angalie mpira, Timu zote anazoziona Epl zimeanza kupata hela miaka ya Karibuni, kuna wakati hata kuitafuta TOP 10 ya wachezaji ghali hupati wa Epl.
Mkuu ulaya tunampima mcheza kwa UCL na sio local league.

Shinda kijijini kwako tukutane kwa MABIBGWA
 
Mkuu ulaya tunampima mcheza kwa UCL na sio local league.

Shinda kijijini kwako tukutane kwa MABIBGWA
Sikatai UCL ni ligi Bora. Ila hata Hio UCL sasa hivi uingereza inaongoza, msimu uliopita tu kati ya Timu nne zilizoshiriki fainali za ulaya tatu zilikuwa za Uingereza.


Pitia hapo utaona Epl ni ya kwanza na la liga ni ya Pili coeficient za uefa.
 
Achana na ENGLAND

TUNAZUNGUMZIA LEO VS CR7 in UCL
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatakaa akuelewe mkuu ila namba hazidanganyi na anajua ila UNAZI ndio unamsumbua
We muache abishane anavoweza december ya 7 kapuni..nimemwambia khs kigezo cha international hajajib hata kdg wkt hcho ndo kilikua kichaka chao wanajificha.
 
Achana na ENGLAND

TUNAZUNGUMZIA LEO VS CR7 in UCLView attachment 1861959
Ndo maana Nimekwambia tunazunguka Circle, Ronaldo by far ni mchezaji Bora UCL sio sababu ya magoli ya makundi against Galatasaray, rubin kazan na vitimu vidogo Bali against timu kubwa na hatua muhimu zaidi.

Messi ana UCL 4 na hizo 3 ndio kazi hangaika ile ya 2006 hata namba Alikuwa Hana ni kina Ronaldinho waliofanya kazi.

Ila Ronaldo Ana champions league 5 na zote Amepambana mpaka kuipa Timu ubingwa.

Data nimewapa Huko nyuma za kutosha tu.
 
We muache abishane anavoweza december ya 7 kapuni..nimemwambia khs kigezo cha international hajajib hata kdg wkt hcho ndo kilikua kichaka chao wanajificha.
Kuna mada anakimbia kimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usijisahaulishe NUMBER OF GAMES [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan saiv washabik wa cr7 ni kama wamepagawa hawajui hata wanatetea nini wapo tu ilimrad wamebisha.
Wanatafuta pa kushika maana walikazania INTERNATIONAL achievements

Saivi hawana hoja kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mada anakimbia kimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me namuangalia nacheka tu hapa anaruka ruka na hoja ambazo hazihusiani na hii tread...nimemwambia Cr7 hajawah kua hata mara moja mchezaj bora wa michuano katika international stage na tuzo yake ya juzi ya Golden boot ndo mafanikio yake ya kwnz ..wkt Messi anazo tuzo 4 za mchezaj bora wa michuano na Golden boot 2 kwenye international stage..naona amekataa kbs hata quote iyo comment yng maana naona hana hoja kbs hata kdg....walikua wanajificha kwenye International stage saiv wanatafuta kichaka kingne kwa tochi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…