Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ndio uone sasa huo ni ushahidi marketing haifanyi kazi kwenye soka? Sababu hio ligi ina mpunga wa kutosha.Mkuu nani anashabikia ligi ya US labda kikapu tu na American football na sio SOCCER
Even miaka kadhaa iliopita Ligi ya China walikuwa wanalipa Kuliko Ulaya tuliona Oscar na Tevez walivyo kuwa wakilipwa, Tumeona makocha mpaka kina Benitez wakikimbilia huko na haikua maarufu.
Huu ni Ushahidi Epl inapendwa kwa ubora wake na sio marketing.
Angalia hata jukwaa letu la michezo ni thread gani zipo active Zaidi.