The Undisputed Messi

Wanatafuta pa kushika maana walikazania INTERNATIONAL achievements

Saivi hawana hoja kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo ilikua silaha yao yan saiv hawaamin kua hicho kichaka hakipo tena...mimi nimempa hii picha hapa anijibu lkn naona hana hoja.
 
Tena hio GOLDEN BOOT

GOLI 5
3 PENALT
GOLI ZA KAWAIDA 2
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
We muache abishane anavoweza december ya 7 kapuni..nimemwambia khs kigezo cha international hajajib hata kdg wkt hcho ndo kilikua kichaka chao wanajificha.
Unataka nikuletee na data za International? Hivi huoni hata aibu kulinganisha hawa wawili international?

Argentina ni club kubwa yenye vipaji kibao wakati Ronaldo amejikongoja na kina pepe, Eder, Danilo etc mpaka uzee wake ndio portugal angalau sasa hivi ina vipaji.

Hizi ni data zao International

Tuanze na magoli
Tuweke sawa Ronaldo amevunja Record ya Dunia ya magoli ya Kimataifa hivyo yeye sasa hivi ndio top.

Magoli yote mechi za Kimataifa
-Ronaldo mechi 179 Goli 109 kila dakika 131 Ronaldo anafunga Goli.
-Messi mechi 151 goli 76 kila dakika 165 Messi anafunga Kimataifa.

Ukiangalia hizo data unaweza kuona kama wanakaribiana vile, ila hazielezei ukweli, tuzigawanye kwenye makundi mawili mechi za kirafiki zisizo na maana na mechi za michuano.

Mechi za kirafiki.
-Ronaldo mechi 51 Goli 19 tu anafunga Goli kila dakika 171 mechi za kirafiki.
-Messi mechi 47 na Goli 34 anafunga Goli kila dakika 108.

Tustop hapa kwanza unaona Messi alivyo bingwa wa kufunga Mechi zisizo na umuhimu? Angalia alivyomkimbiza Ronaldo mechi za kirafiki.

Tuje sasa hatua muhimu magoli kwenye michuano.
-Ronaldo mechi 128 Goli 90 ana Goli kila dakika 122
-messi mechi 104 na goli 42 tu. Anafunga Goli kila baada ya dakika 210.

Hivyo unaona gape la Ronaldo na Messi ni kubwa kupita Maelezo kwenye Michuano ya Kimataifa na Messi ni Mkali mechi za kirafiki.
 
#MESSI TEAM YAKE YA TAIFA HAJAIFANYIA KITU.

Saiv mtatafuta sana pa kujificha.View attachment 1861972
Hapa ukaamua uchunie Appearence kuweka sio? Sababu Copa America inachezwa karibia kila mwaka Messi ana Appearence zaidi ya Ronaldo.

Copa America/Euro
-Ronaldo Kacheza mechi 25 ana Goli 14
-Messi Kacheza mechi 34 narudia 34 goli 13.

Unahisi nani Bora?

Ngoja nikuletee stats zake vs timu za Copa ndio nitahitimisha kabisa huu Uzi wa kimataifa
 
Usijisahaulishe NUMBER OF GAMES [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nime eka data hapo from 2011 mpaka 2018 Ronaldo kafunga 30 knockout goals kwenye 30 games at same time Messi kafunga matano tu.

Ronaldo Hana time na makundi, kuna Msimu alimaliza makundi na goli 1 kama sijakosea, ilivyoanza tu knockout alifunga mpaka kuwa top scorer. Kama unashinda kuelewa hili sijui utaelewa lipi.
 
"Knock out" games?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Mwisho wa siku?????
 
Aibu uone wewe nione mimi...wewe ujue sijui unabishana nini hata sioni hoja zako ni mfu..unafunga magoal sawa lkn kama magoal yako hayana impact sana hayana maana ..kwa sbb unaisaidiaje team wkt hata mchezaj bora wa michuano wewe huna..unaweza kua unafunga magaol tu yasio na maana sana...ndo maana nakwambia nijibu kwa picha hii kua cr7 na yy kafanikiwa kwa hata individually tuzo zake zinaonesha..mbn me nimekuletea picha wewe hutak toa ushahid wa individually awards kuonesha kwl alikua bora katika Major International tournaments.
 
"Knock out" games?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Mwisho wa siku?????
Huyu kama hujajua mkuu ni mfia maji uwa anatapa tapa anavokufa lkn muache anaelewa vzr sana anakaza fuzu tu kwa kua hawez kubal maana roho inamuuma..walisema team ya taifa Messi kapata kombe saiv wanaanza chimba details ambazo ni less relevant kwny comparison hii..muache anaelewa lkn anajifny haelewi.
 
Kombe? Kwani ukishinda knockout Unapata nini?
Yaani hako kakikombe kamoja ka UCL ndio.kamekuwa hoja baada ya copa America kushindwa?
Ila huzungumzii idadi ya michezo[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
"Knock out" games?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Mwisho wa siku?????
Mimi nimemwambia ku izo UCL ambazo ndo amekazania #Messi ana 4 #cr7 anazo 5..kamzid Messi atujakataa lkn tunasema tena hapo hapo ukichukua idadi ya Mechi na magoal na assist ukiweka katika ratio Messi yuko juu ana wastan mzr wa kufunga na kuassist ukicompare na idadi ya mechi.

Lkn Comparison kubwa za muhimu ni 2 BALLON D'OR(ambazo MESSI ATAKUA NAZO 7 hlf Cr7 Anazo 5) & GOLDEN BOOTS(ambazo MESSI anazo 6 hlf cr7 anazo 4).

Sasa jamaa yetu hapo anapoteza mda wake kuongea vitu minor ambavyo pia hawapishani sana au cr7 kazidiwa kbs

Vitu vikuu vinavo matter na dunian nzima inajua ni ivi hapa kwenye picha hii chini hapo.
 
Yaani hako kakikombe kamoja ka UCL ndio.kamekuwa hoja baada ya copa America kushindwa?
Ila huzungumzii idadi ya michezo[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Kumbe na wewe umenotice kua jamaa kabaki kwnye ilo kombe 1 cr7 alilo mzid Messi ndo hoja zake zote ziko hapo yan hatoki zaid ya hapo ndo kichaka chake ambacho sio hata kichaka ni sehem ya wazi ambayo kila m2 anamuona hajajificha hata bali anabishana tu kupoteza mda na siku iende akaribishwe pilau ale basi.
 
Kila sehemu kakwama kabaki hapo tu[emoji851][emoji851]
 
Kila sehemu kakwama kabaki hapo tu[emoji851][emoji851]
[emoji23]muache ajifichd hapo anaona kama kajificha kumbe watu wanamuona vzr tu kwa kua ni hoja nyepes..hoja nzito ni tuzo na overrall numbers izo zinaonesha nan bora sio analeta mambo ya vijiweni ya kina Mzee Mpili mambo ya kua yy ana watu.
 
Tafuta mchezaj wenu hapo anayeitwa cr7 kwenye international stage kama utamuona hata...hapo kuna Messi,Pele,R9 na zizzou..tafuta huyo cr7 wenu utuambie yuko wap..na by the way mind the gap Messi ana 4 hao wana 2 mwngne hata kwny list hayupo.
 
Portugal bila Ronaldo isingefuzu hata Euro ama World cup, Messi anacheza na Aguero, Di Maria, Mascherano, Riquelme, Hiaguain, Lautaro Martinez na masuper star kibao, wakati Ronaldo Ana lord Eder, Danilo, pepe, rui patricio, Renato, Nani etc. Kifupi Ronaldo Ame over achieve na Portugal hasa vile Euro haichezwi Mara kwa Mara.


Nimekwambia nakuletea Data za Copa America haya hapa Magoli yote ya Messi copa America.
-Goli la kwanza vs Peru
-goli la pili vs mexico
-goli la 3 vs Paraguay
- goli la 4,5,6 (hattrick) vs panama
-goli la 7 vs Venezuela
-Goli la 8 vs Usa
-goli la 9 vs paraguay
-Goli la 10 vs Chile
-goli la 11 na 12 vs Bolivia
-Goli la 13 vs Ecuador

Source

Copa America ukiambiwa utaje timu hata 5 nzuri utataja Chile, Brazil, Argentina, Uruguay na Colombia.

Against hizi Timu kubwa ana Goli 1 TU vs Chille, Messi hajawahi funga Vigogo wa Copa America japo anakutana nao sana tu.

Ila akikukutana na mighty Panama, Bolivia ama Ecuador ama Paraguay wanamkoma. Wanachezea Dozi za kutosha.

Ukija Ronaldo Angalia Euro Hii tu ameperform vizuri vs France na Ujerumani.

Kwenye Goli 14 za Ronaldo Euro
3 kawafunga uholanzi
2 kawafunga Ufaransa
1 kawafunga ujerumani
1 kawafunga wales
2 jamhuri ya Czech
1 ugiriki
4 hungary

Hivyo unaona jinsi Ronaldo anavyo hustle vs opponent wakubwa.

Mfano 2004 ili portugal wafike fainali ilibidi wamtoe Spain, uingereza na Uholanzi. Euro kila timu unayogusa ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…