Aibu uone wewe nione mimi...wewe ujue sijui unabishana nini hata sioni hoja zako ni mfu..unafunga magoal sawa lkn kama magoal yako hayana impact sana hayana maana ..kwa sbb unaisaidiaje team wkt hata mchezaj bora wa michuano wewe huna..unaweza kua unafunga magaol tu yasio na maana sana...ndo maana nakwambia nijibu kwa picha hii kua cr7 na yy kafanikiwa kwa hata individually tuzo zake zinaonesha..mbn me nimekuletea picha wewe hutak toa ushahid wa individually awards kuonesha kwl alikua bora katika Major International tournaments.
View attachment 1862056
Portugal bila Ronaldo isingefuzu hata Euro ama World cup, Messi anacheza na Aguero, Di Maria, Mascherano, Riquelme, Hiaguain, Lautaro Martinez na masuper star kibao, wakati Ronaldo Ana lord Eder, Danilo, pepe, rui patricio, Renato, Nani etc. Kifupi Ronaldo Ame over achieve na Portugal hasa vile Euro haichezwi Mara kwa Mara.
Nimekwambia nakuletea Data za Copa America haya hapa Magoli yote ya Messi copa America.
-Goli la kwanza vs Peru
-goli la pili vs mexico
-goli la 3 vs Paraguay
- goli la 4,5,6 (hattrick) vs panama
-goli la 7 vs Venezuela
-Goli la 8 vs Usa
-goli la 9 vs paraguay
-Goli la 10 vs Chile
-goli la 11 na 12 vs Bolivia
-Goli la 13 vs Ecuador
Source
This is the national team page of Inter Miami CF player Lionel Messi. This page contains a statistic about the player's national team career.
www.transfermarkt.com
Copa America ukiambiwa utaje timu hata 5 nzuri utataja Chile, Brazil, Argentina, Uruguay na Colombia.
Against hizi Timu kubwa ana Goli 1 TU vs Chille, Messi hajawahi funga Vigogo wa Copa America japo anakutana nao sana tu.
Ila akikukutana na mighty Panama, Bolivia ama Ecuador ama Paraguay wanamkoma. Wanachezea Dozi za kutosha.
Ukija Ronaldo Angalia Euro Hii tu ameperform vizuri vs France na Ujerumani.
Kwenye Goli 14 za Ronaldo Euro
3 kawafunga uholanzi
2 kawafunga Ufaransa
1 kawafunga ujerumani
1 kawafunga wales
2 jamhuri ya Czech
1 ugiriki
4 hungary
Hivyo unaona jinsi Ronaldo anavyo hustle vs opponent wakubwa.
Mfano 2004 ili portugal wafike fainali ilibidi wamtoe Spain, uingereza na Uholanzi. Euro kila timu unayogusa ni ngumu.