The Undisputed Messi

Ndo mana tunakuambia messi ni genius

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana tunakuambia messi ni genius

Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo sio kwamba hakuwa na kipaji kipindi cha mwanzo man u alikuwa akipigisha watu misamba sana tu,

Ila amejijenga kuwa perfect machine kuna vitu anafanya watu wachache duniani wanaweza.

Mfano kuruka juu zaidi na kupiga mipira ya vichwa

Fainali uefa 2008

Robo fainali na man u


Ronaldo anaruka juu zaidi ya average players wa NBA watu ambao maisha yao yote wanaruka ruka tu.

So Ronaldo ni mchanganyiko wa kipaji, mazoezi na njaa ya mafanikio ndio maana anamaliza career yake akimshinda messi ambaye mara kwa mara amekuwa akitembea uwanjani.

Na fainali za Euro Portugali walivyochukua ubingwa zinaonesha kabisa jinsi hardwork inavyoshinda vipaji.
 
Kuna watu wanasababu za kijinga eti wanadai Messi sio bora sababu kacheza ligi moja tu,wakati wanasahahu PELE ndiye mchezaji bora wa muda wote amecheza SANTOS kwa miaka 18,miaka miwili ya mwisho kaenda kuimalizia US.
Eboooh Pele kacheza ligi zaidi ya moja case closed

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Ahaaaaaaaaah ko unaamini mbape anamzidi messi au Ronaldo in reality?

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Kwasababu hatujua ila unaongea pumba sana mkuu
Age ya mbape na uwezo wake ni thamani kubwa sana

Yan kwa akili zako unafikiri ronaldinho ana thamani kubwa kuliko lukaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe mtafute aliyechukua U.E.F.A tatu mfululizo,ukimpata na kupa buku mbili ya vocha

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
UEFA ameichukua Madrid plus nguvu ya teammates wote sio cr7
Hakuwepo cr7 peke yake uwanjani

Basi ata benzema na yeye kabeba izo UEFA 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSI
 
Cha ajabu mtoa anaonekana yuko biased from the beginning Hahaaa

Cha kumuuliza ni kwamba, mara ngapi Messi kazifunga hizo timu za huko kwenye ligi zingine? kama hajawahi kuwafunga hata mara moja ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…