The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

Kwa wasiojua kufikiri yes ila kwa wanaojua kufikiri.
1. Ronaldo hana Tattoo sijui kama awe amechora sasa hivi niwe sifahamu.
2. Wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka. Hii imeripotiwa na watu mbalimbali toka sporting lisbon, Man united, madrid na juve.
-at sporting
https://www.goal.com/en/news/ronald...-at-sporting-after/12s262l50c82v1rtfas3r4xbmz
-At man united
Tevez anasema hajawahi kuwahi kabla ya ronaldo mazoezini kuna kipindi mazoezi saa 3 asubuhi akawahi saa 1 na nusu asubuhi akamkuta, next time akasema ngoja awahi zaidi akaja 12 asubuhi akamkuta. Unafikiri mkuu huyu ni mtu wa starehe kama unavyoaminishwa?
Carlos Tevez opens up on Lionel Messi and Cristiano Ronaldo's training ground routines | Daily Mail Online
-At madrid miguel Torres "CR9 first to arrive last to leave Training
https://www.goal.com/en/news/12/spa...raises-cristiano-ronaldos-performance-in-real
-At juve Ronaldo anaelekea kuwa babu la Gazzeta dello sport linareport same thing wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka.
The typical day of Ronaldo: First to arrive, last to leave | Calciomercato.com

3. Mchezaji mwenye fat ndogo sana, just asilimia 7 akiwa katika age ya 33 hii ilijulikana wakati anapimwa afya na juve. Ni physique ya 20 yrs old boy.
4E8E6B7200000578-5990451-image-a-5_1532521690611.jpg


Cristiano Ronaldo has the physical attributes of a 20-year-old | Daily Mail Online

4. Mlo wake. Evra anakuambia Ronaldo akikualika kula usiende utakuta tu mbogamboga huko
Evra: If Ronaldo invites you over for lunch, don't go

5. Mtu mzuri na mwenye Huruma.
Tumeona jamaa time to time akitoa utajiri wake kusaidia watu wasiojiweza, sio tu visenti baadhi ya mambo ya Ronaldo aliyofanya.

-point namba moja nimesema Ronaldo hana Tattoo, unajua sababu? Jamaa anasaidia sana damu yake kwa wahitaji, imagine na utajiri wake na anavyojali afya yake na kuwa katika peak ila still halimsaidii kusaidia waonaohitaji kwa kutoa damu.

-Espn wamereport Ronaldo kuna kombe lake moja ameliuza na kuraise Euro laki 6 (kama bilioni 2 za kitanzania) na kutoa sadaka kwa wasiojiweza

-mwaka 2015 amekuwa listed kama mwanamichezo anayetoa sadaka zaidi (sio mpira tu wanamichezo wote)

-mwaka 2015 Nepal ilipopata Earthquake ronaldo alichangia dola milioni 5 (zaidi ya bilioni 10 za madafu) na huo ni zaidi ya msahara wake wa mwezi.

-1.5m kujenga shule mbalimbali Gaza palestine

-kusaidia vitu vya watoto yatima syria

-165k kujenga kituo cha cancer

-kuna mtoto alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ubongo wakamuomba atoe jezi na viatu jamaa akavitoa na akagharamia matibabu yote.

Vyote hivyo ukitaka source taja kimoja nitakutajia.

Na charity nyingi sio yeye anaesema amezitoa bali zinavuja au wafaidika wenyewe wanasema. Hujui anavyofanya kwa siri.

Mkuu kwa hizo quality unaamza vipi kumchukia? Na hao vigogo wa soka ndio hawa wanaoforge kura za baloon d or na kujiaibisha kila siku?

Kwangu mimi ronaldo ni role model wa kila mchezaji na binadamu wa kuigwa.
Ndo mana tunakuambia messi ni genius

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana tunakuambia messi ni genius

Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo sio kwamba hakuwa na kipaji kipindi cha mwanzo man u alikuwa akipigisha watu misamba sana tu,

Ila amejijenga kuwa perfect machine kuna vitu anafanya watu wachache duniani wanaweza.

Mfano kuruka juu zaidi na kupiga mipira ya vichwa
article-2278671-0155BF3500000578-791_634x466.jpg

Fainali uefa 2008

Robo fainali na man u
article-2278671-17906666000005DC-537_634x393.jpg


Ronaldo anaruka juu zaidi ya average players wa NBA watu ambao maisha yao yote wanaruka ruka tu.

So Ronaldo ni mchanganyiko wa kipaji, mazoezi na njaa ya mafanikio ndio maana anamaliza career yake akimshinda messi ambaye mara kwa mara amekuwa akitembea uwanjani.

Na fainali za Euro Portugali walivyochukua ubingwa zinaonesha kabisa jinsi hardwork inavyoshinda vipaji.
 
Kuna watu wanasababu za kijinga eti wanadai Messi sio bora sababu kacheza ligi moja tu,wakati wanasahahu PELE ndiye mchezaji bora wa muda wote amecheza SANTOS kwa miaka 18,miaka miwili ya mwisho kaenda kuimalizia US.
Eboooh Pele kacheza ligi zaidi ya moja case closed

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Ahaaaaaaaaah ko unaamini mbape anamzidi messi au Ronaldo in reality?

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Kwasababu hatujua ila unaongea pumba sana mkuu
Age ya mbape na uwezo wake ni thamani kubwa sana

Yan kwa akili zako unafikiri ronaldinho ana thamani kubwa kuliko lukaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe mtafute aliyechukua U.E.F.A tatu mfululizo,ukimpata na kupa buku mbili ya vocha

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
UEFA ameichukua Madrid plus nguvu ya teammates wote sio cr7
Hakuwepo cr7 peke yake uwanjani

Basi ata benzema na yeye kabeba izo UEFA 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....

Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.

Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....

Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSI
 
Cha ajabu mtoa anaonekana yuko biased from the beginning Hahaaa

Cha kumuuliza ni kwamba, mara ngapi Messi kazifunga hizo timu za huko kwenye ligi zingine? kama hajawahi kuwafunga hata mara moja ni sawa
 
Back
Top Bottom