The Verratti to the rescue

The Verratti to the rescue

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
10986068_346613668878259_1746174786_n.jpg

https://www.youtube.com/watch?v=jbuVydPcTqg

The Verratti & the badass.
ANARUDI LEO. Mizimu ya Franco iwe nao PSG.
 
Kwangu nadhan ndie kiungo bora kbsa kwa ssa
 
Dogo hachezi number nane, mara nyingi ni kiungo mchezeshaji anayecheza nyuma zaidi (Deep Lying). Kama Toni Kroos

Tufanye tu anacheza hiyo 8, ngoja tumsikilize kama nani kawazidi.
 
Dogo anajua ni central midfielder,ana vitu vingi vinavyomfanya awe bora kwanza ni gifted playmaker,anapiga pasi zinazofika,ujuzi ana vision ya hali ya juu sana mi hupenda kumfananisha na xavi japo wataliano kwao ndie pirlo mpya!mtulivu sana!
 
Dogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.
 
Yup yup, Pirlo anaondoka kwa amani coz dogo anakuja vizuri.
 
Dogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.
Only a matter of time, lazima awe blanco huyo. Acha aendelee ku-train huko aliko
 
Dogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.

Aaaaah, Madrid tena kwa mitamaa yenu, kukuza vya kwenu hamuwezi.
 
Aaaaah, Madrid tena kwa mitamaa yenu, kukuza vya kwenu hamuwezi.

Labda we ndio huna habari, wachezaji kibao wapo kwenye ligi za Ulaya wanatoka Madrid Castilla, list ni ndefu nikitaja majina JF haitoshi. Au hujui legend wenu Etoo katolewa bush kwao Cameroon akanolewa na Real Madrid?
 
Dogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.

Uyu dogo nadhan kwenda Madrid n ndoto cz nyie pale mnao wengi wa aina yake
 
Uyu dogo nadhan kwenda Madrid n ndoto cz nyie pale mnao wengi wa aina yake

Hiyo sio sababu, msimu ukiisha ambao hawatufai tunatia sokoni , kwahiyo lazima wanatakiwa watu wa ku-replace nafasi zao na always wachezaji bora lazime waje Bernabéu. Money talks.
 
Marco verrati hawakumjua mpaka alivyowaadabisha chelsea ila leo nipo kinyume

Messi mcharo tena
 
Back
Top Bottom