TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604

https://www.youtube.com/watch?v=jbuVydPcTqg
The Verratti & the badass.
ANARUDI LEO. Mizimu ya Franco iwe nao PSG.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Wengi bado wanasuasua kumuelewa, ila ipo siku.Anajua mbaka namuogopa kiungo uyo
Tutajua tuLeo ndo wanaaga Rasmi UEFA.
Kwa walio umri wake na kushuka.Kwangu nadhan ndie kiungo bora kbsa kwa ssa
Kwa walio umri wake na kushuka.
Dogo hachezi number nane, mara nyingi ni kiungo mchezeshaji anayecheza nyuma zaidi (Deep Lying). Kama Toni KroosKwa no 8 wa asili kawazid mbka wakubwa
Kwa no 8 wa asili kawazid mbka wakubwa
Dogo hachezi number nane, mara nyingi ni kiungo mchezeshaji anayecheza nyuma zaidi (Deep Lying). Kama Toni Kroos
Yup yup, Pirlo anaondoka kwa amani coz dogo anakuja vizuri.Dogo anajua ni central midfielder,ana vitu vingi vinavyomfanya awe bora kwanza ni gifted playmaker,anapiga pasi zinazofika,ujuzi ana vision ya hali ya juu sana mi hupenda kumfananisha na xavi japo wataliano kwao ndie pirlo mpya!mtulivu sana!
Only a matter of time, lazima awe blanco huyo. Acha aendelee ku-train huko alikoDogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.
Dogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.
Aaaaah, Madrid tena kwa mitamaa yenu, kukuza vya kwenu hamuwezi.
Dogo anatakiwa aje viunga vya Chamartin, norte de ciudad Madrid. Usajili wa hii season inayokuja itakuwa raha sana.
Uyu dogo nadhan kwenda Madrid n ndoto cz nyie pale mnao wengi wa aina yake