The Vitruvian man: Ufahamu mchoro wenye utata kuhusu mwili wa mwanadamu uliochorwa na Da Vinci

Hasira zina kazi yake. Kuonesha kuwa jambo hili limekwaza sana kufikiria sisi sooote hatujielewi. Hapo ndo pamenipa hasira sana ....mpaka natoka moshi....
Sorry mkuu punguza hizo jazba maisha ndio hayahaya. Shauri yako
 



Moja ya quotes bora kuwahi kusemwa na Yesu.
 
Mwanadamu kwaumba na roho ambayo ni immortal na Mwili ambao ni mortal hivyo inamuwezesha mwanadamu kuweza kuishi sehemu yoyote ile, duniani au mbinguni ambacho ni kitu malaika,shetani au wanyama na mimea wamenyimwa. Mwanadamu kwakua ana roho yenye uungu na mwili wa kibanaadamu amepewa chaguzi la yeye kuweza kuishi uungu kwa kutenda mema maishani mwake au uushetani kwa kutenda ubaya maishani mwake. Hicho kitendo cha kuchagua ndio kinaufanya tuwe viumbe tuliopendelewa zaidi kuliko kiumbe chochote.

**hayo maneno hapo juu imeweka tafsiri yako,sio kweli ni tafsiri za huo Mchoro.Kwanza Da Vinci alikuwa haamini mambo ya uwepo wa Mungu.
 
Hahahahah jamaa licha ya kua Karibu na Pope lakini alijua dini ni upuuzi kama upuuzi Mwingine maana aliyashuhudia na alijua Siri nyuma ya pazia!
 
Hivi mchoro huo sisi binafsi unatusaidia nn kwenye maisha haya ya kawaida..? Je Kuna faida zozote za kiroho au kimwili au kimafanikio ukiapply kupitia huo mchoro?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi
 
Ok
 
Sina hakika na mengine lakini kuhusu kutafsiri agano jipya kwenda Kigiriki nadhani utakua umefanya typing error, agano jipya lote liliandikwa kwa lugha ya Kigiriki/Kiyunani cause hi ndio ilikua lugha ya kimataifa ya wakati ule so ili watu wote waelewe unachotaka kukisema, ilikua lazima utumie lugha hiyo kama ilivo Kingereza leo. Maneno kama Kristo, Biblia, Ubatizo, Sabato nk ni maneno ya Kigiriki/Kiyunani ambayo kwa lugha zingine ilikua huwezi kupata neno moja, mfano Biblos/Bible/Biblia; kwa Kiyunani/Kigiriki Biblos ni mkusanyiko wa vitabu vyenye them moja, so baada ya kukosekana neno moja kama ilivo Kigiriki then lugha zingine zikatohoa from the original.
 
Kwa mpangilio wako unataka kuniambia kwamba Shetani anazidiwa hata na paka
Maana ya msemaji NI Kwamba: wanyama na mimea, alipewa mwanadamu na Mungu vitumike.., hvyo hii ni inshu ya hadhi.., shetani hakupewa chochote na Mungu Ili vimtumikie.., ndiyo maana anastahili kukaa mwisho kihadhi.
 
N
Noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…