Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maisha mengine. Yapo.... Na ndo maana huwa sisi wengine tunapinga habari za uzushi,uzandiki na ubaradhuli.Sorry mkuu punguza hizo jazba maisha ndio hayahaya. Shauri yako
EnheeKumbe ulibadiri jina tena😟
Brother hii topic ni pana sana, inahitaji muda na utulivu mkubwa. Kwahiyo, nikitulia nitakujibu kwa ufasaha kabisa, though nitaandika kutoka kwenye perspective ya BIBLIA TAKATIFU.
Kwa sasa elewa tu kwamba, the greatest commodity of exchange ili kumuwezesha mtu kupata nafasi, vyeo, biashara na utajiri ambavyo binadamu wanakimbizana usiku na mchana kuvipata, sio fedha (mfano US $)kama watu wengi wanavyodhani. Fedha na utajiri unaoonekana katika ulimwengu huu wa mwili ni matokeo tu.
The greatest commodity of exchange katika ulimwengu huu ni NAFSI ZA WANADAMU. Kama umeikabidhi nafsi yako kwa MUNGU/YAHWE, tambua kabisa kila unachokitaka katika maisha yako, katika misingi ya uhalali na taratibu za YAHWE, utakipata huko. Wapo waliouza nafsi zao kwa shetani ili wapate wayatakayo humu duniani (hawa ni wengi sana). Kuikabidhi nafsi yako huko kunafanyika kwa njia ya ibada.
Hahahahah jamaa licha ya kua Karibu na Pope lakini alijua dini ni upuuzi kama upuuzi Mwingine maana aliyashuhudia na alijua Siri nyuma ya pazia!Mwanadamu kwaumba na roho ambayo ni immortal na Mwili ambao ni mortal hivyo inamuwezesha mwanadamu kuweza kuishi sehemu yoyote ile, duniani au mbinguni ambacho ni kitu malaika,shetani au wanyama na mimea wamenyimwa. Mwanadamu kwakua ana roho yenye uungu na mwili wa kibanaadamu amepewa chaguzi la yeye kuweza kuishi uungu kwa kutenda mema maishani mwake au uushetani kwa kutenda ubaya maishani mwake. Hicho kitendo cha kuchagua ndio kinaufanya tuwe viumbe tuliopendelewa zaidi kuliko kiumbe chochote.
**hayo maneno hapo juu imeweka tafsiri yako,sio kweli ni tafsiri za huo Mchoro.Kwanza Da Vinci alikuwa haamini mambo ya uwepo wa Mungu.
SahihiRemember Alan Turing? was a British computer scientist ambaye ndio alikuja na hizi algorithms unazotumia sasa kwenye smart phone yako or computer kuja kutukana watu , kuwa straight doesnt mean you are smarter or anything better, hata apple CEO ni gay lakini mchango wake kwa binadamu ni mkubwa kuliko wewe
OkUzi mzuri lkn kwangu sijui kwanini inakuwa ngumu kuamini kama hiyo picha inamafumbo mengi kama inavyoainishwa!!, mengine kama vile yanakuzwa tu nawatu na kuitafsiri waonavyo!!.
Ila nahisi na mweka mada unamaana yako kutuwekea picha hiyo!,nahisi kabisa kuna kaujumbe unataka kukafikisha ila lazima ukafikishe kwa siri!.. hata hivyo usitilie maanani ni kuhisi kwangu tu!..
Elezea hayo mapozi 12 uliyoyaona nje na hayo yanayoonekana!.
Maana ya msemaji NI Kwamba: wanyama na mimea, alipewa mwanadamu na Mungu vitumike.., hvyo hii ni inshu ya hadhi.., shetani hakupewa chochote na Mungu Ili vimtumikie.., ndiyo maana anastahili kukaa mwisho kihadhi.Kwa mpangilio wako unataka kuniambia kwamba Shetani anazidiwa hata na paka
Noma sana."Marcus Vitruvius Pollio Ndani ya kitabu hicho alieleza kwamba kitovu ndio sehemu ya katikati katika mwili wa mwanadamu"
Na Da Vinci katika mchoro wake anasema
"Sehemu za siri zinapoanzia ndio katikati ya mtu"
Kama Da Vinci alichora mchoro kutokana na kitabu cha Vitruvius,Je unadhani ni nani alikuwa sahihi juu ya mwili wa binadamu, maana naona wanapishana maelezo?